othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mwisho wa siku umeamua kusimama upande wa haki. Mungu akubariki sana. Maana imeandikwa heri mwisho wa Jambo kuliko mwanzo.Swilla alimaliza kazi!
Hakuna kesi pale!
Inamaana kama mtu ukimchukua fundi akujengee nyumba unapaswa umpatie mkataba ugongwe na mwanasheria/wakili wako na pia ulipie kodi........Africa kwa uchumi wetu bado sana kufikia hatua iyo,Mahakama iko sahihi kuna kesi ya kujibu kama hao makomandoo waliajiriwa kama walinzi wa mbowe au Lisu je taratibu za ajira zikizingatiwa? Wakkatwa Kofi ya mapato ya TRA na NSSF kipindi chote cha hiyo ajira yao iwe ya siku moja au wiki au nk sababu ukiajiri kibarua hata kwa Siku moja lazima ukate TRA na NSSF
Hao makomandoo waliajiriwa kwa mkataba UPI? It appears waliitwa kwa ajira IPI hiyo isiyotambuliwa sheria za ajira,NSSF na TRA? Kama siio ugaidi
Huo ushahidi mzito ulitolewa na nani? Kingai?!Kesi ilikuwa na ushahidi mzito sana ndio maana kelele zilikuwa nyingi kesi iendolewa pia mawakili kuuliza non sense questions unauliza kwanini mtuhumiwa alipewa chakula wakati anasafirishwa kweli,unamuuliza mpelelezi kama alienda kambi ya jeshi alipokuwa anafanya kazi mtuhumiwa sasa akafanye nini kwani anapeleleza kuthibitisha mtuhumiwa ni mwanajeshi au kuthibitisha kuwa amehusika na kutenda kosa.
Utajua hujuiSheria sio sehemu za siri zinafichwa na nguo, sheria ziko wazi kulinda haki za watu.
Kushinda au kushindwa kesi kunategemea na mtoa maamuzi kaamuaje.Matokeo ya kesi hayatofautiani sana na matokeo ya mechi ya mpira wa miguu pale ambapo mwamuzi anaweza kuamua kilingana na jinsi alivyotafsiri sheria.Kama mwamuzi yuko upande fulani inawezekana pia na hilo huwezi kulibadilisha kwasababu yeye ndiye anayejua kwanini yuko upande huo.Mambo mengine ni kawaida sana .kwa hyo kwa akili zako unadhani mawakili wa serikali wamepeleka kesi ili WASHINDWE?[emoji16][emoji16]
Kushinda au kushindwa kesi kunategemea na mtoa maamuzi kaamuaje.Matokeo ya kesi hayatofautiani sana na matokeo ya mechi ya mpira wa miguu pale ambapo mwamuzi anaweza kuamua kilingana na jinsi alivyotafsiri sheria.Kama mwamuzi yuko upande fulani inawezekana pia na hilo huwezi kulibadilisha kwasababu yeye ndiye anayejua kwanini yuko upande huo.Mambo mengine ni kawaida sana .kwa hyo kwa akili zako unadhani mawakili wa serikali wamepeleka kesi ili WASHINDWE?[emoji16][emoji16]
Hajavaa barakoa,wakala wa corona.Mbowe na wenzake wanakesi ya kujibuView attachment 2122972
Majibu unayo mkuu.Huo ushahidi mzito ulitolewa na nani? Kingai?!
Unafikiri MUNGU Ni kibwengo ambacho unaweza kukituma siyo?. MUNGU anasimamia na wenye HAKI. Maana imeandikwa sitahukumu kwa kuona Wala kusikia BALI KWA HAKI NITAHUKUMU MATAIFA.Na atawasaidia mawakili wa serikali washinde kesi hii.
sikulaumu, nalaumu ule uji uko ndani ya kichwa chakooooh mama kaongea na Lissu sijui nini ... 😏
wafuasi wa Mbowe mna ufwala mwingi sana
Hebu tulia maana naona umeanza kuingiza ujuaji usio na msingi.Wengi hamjui Mambo ya mahakama yanavyokwenda.
Tangu mwanzo nilipoona mbowe amejihusisha na watu wa JWTZ niliwaambia mapema sana mbowe hatoboi hi kesi
Mbona kuna wafungwa na mahabusu lukuki magarezani na hawajapewa fursa ya kuomba radhi? Wapeni hiyo fursa basi msipendelee si mnasema binadamu wote ni sawa.Gaidi kama gaidi eti aombe radhi wakati wezi wa kuku tu wanaoza magerezani.Huwezi shindana na dola.. Mliambiwa muombe radhi haya yapite mkashupaza shingo.
Kwa mtindo huu mkiendelea kujifanya wababe Mbowe atafungwa na hakuna kitu mtafanya..
Familia ya Mbowe imekubali kuingizwa mkenge na watu wana ulafi wa pesa za ukimbizi huko nje ya nchi na wengine mawakili wanaochangisha wanachama pesa na kujitajirisha..