Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Sirikali imeona wadanganyika wote ni Mazezeta,waoga,mambumbumbu hakuna cha kuwafanya.silaha iliyobakia ni maombi 1[emoji848][emoji848]poor wadanganyika.watumwa ndani ya sirikali
 
Mahakama iko sahihi kuna kesi ya kujibu kama hao makomandoo waliajiriwa kama walinzi wa mbowe au Lisu je taratibu za ajira zikizingatiwa? Wakkatwa Kofi ya mapato ya TRA na NSSF kipindi chote cha hiyo ajira yao iwe ya siku moja au wiki au nk sababu ukiajiri kibarua hata kwa Siku moja lazima ukate TRA na NSSF

Hao makomandoo waliajiriwa kwa mkataba UPI? It appears waliitwa kwa ajira IPI hiyo isiyotambuliwa sheria za ajira,NSSF na TRA? Kama siio ugaidi
Inamaana kama mtu ukimchukua fundi akujengee nyumba unapaswa umpatie mkataba ugongwe na mwanasheria/wakili wako na pia ulipie kodi........Africa kwa uchumi wetu bado sana kufikia hatua iyo,
 
Kesi ilikuwa na ushahidi mzito sana ndio maana kelele zilikuwa nyingi kesi iendolewa pia mawakili kuuliza non sense questions unauliza kwanini mtuhumiwa alipewa chakula wakati anasafirishwa kweli,unamuuliza mpelelezi kama alienda kambi ya jeshi alipokuwa anafanya kazi mtuhumiwa sasa akafanye nini kwani anapeleleza kuthibitisha mtuhumiwa ni mwanajeshi au kuthibitisha kuwa amehusika na kutenda kosa.
Huo ushahidi mzito ulitolewa na nani? Kingai?!
 
kwa hyo kwa akili zako unadhani mawakili wa serikali wamepeleka kesi ili WASHINDWE?[emoji16][emoji16]
Kushinda au kushindwa kesi kunategemea na mtoa maamuzi kaamuaje.Matokeo ya kesi hayatofautiani sana na matokeo ya mechi ya mpira wa miguu pale ambapo mwamuzi anaweza kuamua kilingana na jinsi alivyotafsiri sheria.Kama mwamuzi yuko upande fulani inawezekana pia na hilo huwezi kulibadilisha kwasababu yeye ndiye anayejua kwanini yuko upande huo.Mambo mengine ni kawaida sana .

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi shindana na dola.. Mliambiwa muombe radhi haya yapite mkashupaza shingo.

Kwa mtindo huu mkiendelea kujifanya wababe Mbowe atafungwa na hakuna kitu mtafanya..

Familia ya Mbowe imekubali kuingizwa mkenge na watu wana ulafi wa pesa za ukimbizi huko nje ya nchi na wengine mawakili wanaochangisha wanachama pesa na kujitajirisha..
 
oooh mama kaongea na Lissu sijui nini ... 😏

wafuasi wa Mbowe mna ufwala mwingi sana

niliwahi kuwauliza hivi:
hakimu akishusha miwani kidogo akasema Mbowe amekutwa na hatia kuna mtu atapinga hata hao mawakili wasomi sijui wasomi ?

90CDFC9B-16D3-4E65-8783-137005729856.jpeg
 
Mama anamfinya Mbowe alafu anampa shavu mbelgiji,angalia atakavyo wachanganya bendera ufata upepo.
 
ikumbukwe raisi samia alisema wengine walisafugwa kutokana na hii kesi, na hio ni OUNGO, sasa ni lazima samia aonekane mkweli, kwa macho ya dunia, so mimi nilijua tu jaji ataamua vile, lakini kaa magufuri aliyejiona mungu leo nii anateketea kwa shetani, sijui samia ni nani
 
Huwezi shindana na dola.. Mliambiwa muombe radhi haya yapite mkashupaza shingo.

Kwa mtindo huu mkiendelea kujifanya wababe Mbowe atafungwa na hakuna kitu mtafanya..

Familia ya Mbowe imekubali kuingizwa mkenge na watu wana ulafi wa pesa za ukimbizi huko nje ya nchi na wengine mawakili wanaochangisha wanachama pesa na kujitajirisha..
Mbona kuna wafungwa na mahabusu lukuki magarezani na hawajapewa fursa ya kuomba radhi? Wapeni hiyo fursa basi msipendelee si mnasema binadamu wote ni sawa.Gaidi kama gaidi eti aombe radhi wakati wezi wa kuku tu wanaoza magerezani.
 
Back
Top Bottom