Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Hakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na hatia ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.

#Mbowe ni gaidi
Mbowe bado hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Lakini kumbuka shetani hana aibu, siku moja itakuwa wewe au ndugu yako.
Utawala uliopita Makonda was untouchable, leo hii anaishi kama digidigi
 
Mbowe hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Kwa mujibu au muono wa Jaji anaona ni kuwa kuna makosa yalifanywa na Mbowe. Tusubiri sasa wakati wakijitetea. Time will tell
Mkuu Kwani Mimi nimeandikaje?
 

 
Umeandika amekutwa na hatia na kama hujui tofauti yake na kukutwa na kesi ya kujibu basi wewe ni wa kuonea huruma kwa madhila ya utindio wa ubongo unaokusibu
Whatever the case, what matters is "Mbowe is no more"
 
Unafikiri MUNGU Ni kibwengo ambacho unaweza kukituma siyo?. MUNGU anasimamia na wenye HAKI. Maana imeandikwa sitahukumu kwa kuona Wala kusikia BALI KWA HAKI NITAHUKUMU MATAIFA.
Sasa wewe unadhani mungu pia haoni haki iko wapi, mm ninaamin mpaka siku Naenda kaburini, Mbowe alikuwa na mchezo mchafu na wala usofikie kuwa mungu ajui unachokiwaza kabla hata ya kutenda, kwa hiyo km ni mungu anaplay pande zoote, yaani anayedikiria eti Samia amemtengenezea kesi Mbowe, basi jua hata huyo mungu unayemuomba hatakusikia maana ukweli unajulikana.
 
Leo ni sku ya shetani kuanguka au kuangushwa tena.
Ee Baba wa Mbinguni Mungu, ukasimamie haki, madhalimu wakashindwe na uwakukumu kwa matendo yao maovu.
Kweli shetani kaanguka na kaangushwa Tena. Baba Mungu wa mbinguni anaendelea kusamia haki kama ulivyoomba. Madhalimu yatashindwa na uwahukumu magaidi kwa ugaidi wao.
 
Sijakataa lolote linaweza kutokea.
Ila Mimi naona mbowe kuna sehemu alikosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…