johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama makamu atapunguza roporopo!Kesi itafutwa kabla ya kufika mwisho kupitia DPP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama makamu atapunguza roporopo!Kesi itafutwa kabla ya kufika mwisho kupitia DPP
Mbowe bado hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Lakini kumbuka shetani hana aibu, siku moja itakuwa wewe au ndugu yako.Hakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na hatia ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.
#Mbowe ni gaidi
Mkuu Kwani Mimi nimeandikaje?Mbowe hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Kwa mujibu au muono wa Jaji anaona ni kuwa kuna makosa yalifanywa na Mbowe. Tusubiri sasa wakati wakijitetea. Time will tell
Tena anasaidia sn kupiga kwake kelele maana huyu bibi ni katili haswa na hafaiKama makamu atapunguza roporopo!
Tuache mihemko kuna kundi linadhani Mbowe ni malaika hawezi kuwa na makosaHii yote ni sababu ya kudai Katiba Mpya.
Mungu ibariki Chadema.
Ipi sasa ? Upo upande wa Kingai au wa walala hoi?Mungu atende Miugiza leo
Ushabiki unawatafuna watu wengi kwenye jukwaa hili. Watu hawatumii logical reasoning. Wanadhani perceptions na personal feelings ndiyo preponderance of the evidence!
Juzi niliwaonya mashabiki wa Mbowe kuwa kutarajia kwamba leo judge angekuja na no-case-to-answer ruling lilikuwa zoezi la kujipa matumaini hewa!
Daaa yaani alafu nyumbu hawaelewi kabisa,Mama anamfinya Mbowe alafu anampa shavu mbelgiji,angalia atakavyo wachanganya bendera ufata upepo.
Kwa sababu zipi? Amezitaja?
Umeandika amekutwa na hatia na kama hujui tofauti yake na kukutwa na kesi ya kujibu basi wewe ni wa kuonea huruma kwa madhila ya utindio wa ubongo unaokusibuKwani Mimi nimeandikaje?
Whatever the case, what matters is "Mbowe is no more"Umeandika amekutwa na hatia na kama hujui tofauti yake na kukutwa na kesi ya kujibu basi wewe ni wa kuonea huruma kwa madhila ya utindio wa ubongo unaokusibu
Sasa wewe unadhani mungu pia haoni haki iko wapi, mm ninaamin mpaka siku Naenda kaburini, Mbowe alikuwa na mchezo mchafu na wala usofikie kuwa mungu ajui unachokiwaza kabla hata ya kutenda, kwa hiyo km ni mungu anaplay pande zoote, yaani anayedikiria eti Samia amemtengenezea kesi Mbowe, basi jua hata huyo mungu unayemuomba hatakusikia maana ukweli unajulikana.Unafikiri MUNGU Ni kibwengo ambacho unaweza kukituma siyo?. MUNGU anasimamia na wenye HAKI. Maana imeandikwa sitahukumu kwa kuona Wala kusikia BALI KWA HAKI NITAHUKUMU MATAIFA.
Kweli shetani kaanguka na kaangushwa Tena. Baba Mungu wa mbinguni anaendelea kusamia haki kama ulivyoomba. Madhalimu yatashindwa na uwahukumu magaidi kwa ugaidi wao.Leo ni sku ya shetani kuanguka au kuangushwa tena.
Ee Baba wa Mbinguni Mungu, ukasimamie haki, madhalimu wakashindwe na uwakukumu kwa matendo yao maovu.
Kushinda au kushindwa kesi kunategemea na mtoa maamuzi kaamuaje.Matokeo ya kesi hayatofautiani sana na matokeo ya mechi ya mpira wa miguu pale ambapo mwamuzi anaweza kuamua kilingana na jinsi alivyotafsiri sheria.Kama mwamuzi yuko upande fulani inawezekana pia na hilo huwezi kulibadilisha kwasababu yeye ndiye anayejua kwanini yuko upande huo.Mambo mengine ni kawaida sana .
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app