Kimsingi na uhalsia,chama tawala na vya vya upnzani hukuza uhasimu zaid hat baad ya uchaguz hvo kfany raia wa vyama pinzan ktokukipenda na kuelew sera za cham tawala,kw jnsi hy mtu atokae chama pinzan ama chama tawala yupo tayar hata kushabikia jamb ambalo lnawez kuw ama ktokuw na ushahidi ilmradi t ausafishe upand wake na upande mwngne uonekane n ovu na usio stahili jamb ambalo lnawafny raia siyo wa chama tawala ama chama pinzan ktoa maon yao juu ya kesi za kina MBOWE na SABAYA kwa mihemuko ya ksiasa bla kjuw hat ukwel wa jamb,
ndy maan n rahis sana kukta mtu ambaye hat hajuw kesi inaendaj na imefkia wp kukuambia kuw MBOWE n gaidi au sio gaidi ama SABAYA n mbay au mzur,n kwasabab kna mtu wa upande wake kamwaminisha na kukariri bla kjua mahakaman kunakwendaje,jamb la msing n kuach political emotions na ktafuta ukwel wa mamb ndpo tuhukumu!maan xehem pekee unaweza pata stahk zak kw haki ktka makosa na mazur n mbiguni t.