Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Katika Kosa hili Ushahidi Uliletewa Mahakamani Katika Kosa hili, Walileta Uniform,

Mahakama Ilikataa kupokea Vielelezo hivyo Kwa sababu Wakati wanakamata Walikula Misingi ya Kukamata Vielelezo hivyo

Hapakuwa na Vielelezo Vingine hapo kuwa na Ushahidi Mwingine
 
Jaji: Mahakama Imepitia Vielelezo Vyote Vya Upande Wa Mashtaka na Utetezi, Bila kwenda Ndani, Mahakama hii Inaona Upo Ushahidi Washitakiwa Wana Kosa la Kujibu, Kwa Maana hiyo Mahakama hii Imewakuta Washitakiwa wa 1, 2 na 3 na 4 Wana Kosa la Kujibu Kwa Makosa yanayofuata..
 
Back
Top Bottom