Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalili zinaonekana lakini Jaji atakuwa amejiweka kwenye nafasi ya kudharaulika na Kila mpenda haki.Hapa jamaa wana kesi ya kujibu
Wana kesi ya kujibuEe Mwenyenzi Mungu uwaepushe na
Kesi.
Amina
Mungu ni mkubwaMungu atende Miugiza leo
Adhaulike?Dalili zinaonekana lakini Jaji atakuwa amejiweka kwenye nafasi ya kudharaulika na Kila mpenda haki.
Wameshindwa kumleta DCI Boaz wakati ndiye mwenye kesi halafu unasema hoja zimesimama?Hao jamaa wana kesi ya kujibu wote..ngoja tuone..maana ukiangalia hoja za wakina Kidando zilikua zimesimama haswa.
Wachana na hao WASIYO JULIKANA.Wameshindwa kumleta DCI Boaz wakati ndiye mwenye kesi halafu unasema hoja zimesimama?
Leo ndiyo siku yako ya kufanya shereheHao jamaa wana kesi ya kujibu wote..ngoja tuone..maana ukiangalia hoja za wakina Kidando zilikua zimesimama haswa.
AminaMungu ibariki chadema
Lakini pia judge atakuwa amepata sifa kubwa sana kwa kila mchukia maovuDalili zinaonekana lakini Jaji atakuwa amejiweka kwenye nafasi ya kudharaulika na Kila mpenda haki.