LGE2024 Mbowe na wenzake wamekiuka Kanuni ya 49 (k) ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, adhabu yake ni faini au jela mwaka au vyote viwili

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni washenzi sn hawa jamaa
 
Kwani wewe 1979Magufuli mfano uwe ni TLP na ukakaribishwa kwenye jukwaa la CCM kuhutubia kwenye mkutano wao wa kisiasa wa kampeni hizi zinazoendelea. Je, ukienda na kufanya hivyo unakuwa umevunja sheria ipi...?

Na kwa tukio la Jana kama una akili timamu kweli, hebu jiulize swali hili Moja tu kuwa, polisi walienda kufanya nini kwenye mkutano huo wakati ACT WAZALENDO mkutano wao ulikuwa unaenda vizuri tu na hawakuripoti Polisi wakati wowote kulalamika kuwa CHADEMA wamevuruga au kuingilia tukio/mkutano wao....?

Hawa polisi nia na kusudi lao kwa CHADEMA ni nini hasa kama siyo kuwachokoza tu...?

Huoni kuwa polisi ni kama wamevaa koti la CCM Ili kuwasaidia kupambana na CHADEMA? Ni iweje waende kuwakata kwa kuwavizia porini na kwa kuwapiga watu bila sababu...?

Hii yote maana yake nini hasa kama si hawa polisi ku - incite vurugu tu watu watakaposema hawataki kuonewa tena..?

Yaani Iko hivi: Wewe ni mjinga na polisi wako ni wajinga mara 100 zaidi...!!!
 
Pumbavu kwani ACT wamelalamika! Kwa nini Mwenyekiti wa ACT naye amekamatwa?

Huyo RPC hana haya za uso labda masaburi!
 
Jopo la mawakilo 2 wa CDM ni mawakili laki 320 wa Jamhuri, how could it be easy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…