Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni washenzi sn hawa jamaaCcm chukua hii ,ila hamlazimishwi mnaenda pata pigo ambalo mtaulizana kwenye corido msijue nini kimetokea , Mungu ananena kwa sauti kubwa , Tunzeni hii , mtapigwa butwaa , leo Tarehe 22 , tunza hii ndani ya siku 87 zijazo mtaelewa nasema nini.
Mmekua waonevu, mmekua na majivuno ,Mungu anasema atawapukutisha kama mchanga ,thanks
Kwani wewe 1979Magufuli mfano uwe ni TLP na ukakaribishwa kwenye jukwaa la CCM kuhutubia kwenye mkutano wao wa kisiasa wa kampeni hizi zinazoendelea. Je, ukienda na kufanya hivyo unakuwa umevunja sheria ipi...?Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa inaonyesha kuwa ACT wangefanya mkutano, Mbowe kwenda kufanya mkutano kwenye ratiba ya ACT ilikuwa ni ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi.
Kanuni hiyo ya 49 (k) inapatikana ukurasa wa 28 wa kanuni za uchaguzi za serikali za mitaa inayohusu makosa na adhabu na inasema kuwa mtu yeyote atakuwa ametenda kosa la uchaguzi endapo atavuruga ratiba ya mikutano ya kampeni za uchaguzi au atavunja masharti ya kampeni za uchaguzi.
Na adhabu yake imetajwa katika kanuni 49 (2) kuwa ni faini isiyozidi shilingi 300,000 au jela isizidi mwaka au vyote kwa pamoja.
Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na ningekuwa mimi ndio mamlaka lazima angekuwa behind the bar na jela kulivyokuwa na joto aisee.
PIA SOMA
- LGE2024 - Jeshi la Polisi wamkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe sababu hazijafahamika
Mkuu acha inyeshe tujue panapovuja , Mtegemee Mungu sana na sio binadam ,maisha ya binadam yapo na kikomoNi washenzi sn hawa jamaa
Hakuna kitu kama hicho lazima kupambanaMkuu acha inyeshe tujue panapovuja , Mtegemee Mungu sana na sio binadam ,maisha ya binadam yapo na kikomo
Pumbavu kwani ACT wamelalamika! Kwa nini Mwenyekiti wa ACT naye amekamatwa?Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa inaonyesha kuwa ACT wangefanya mkutano, Mbowe kwenda kufanya mkutano kwenye ratiba ya ACT ilikuwa ni ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi.
Kanuni hiyo ya 49 (k) inapatikana ukurasa wa 28 wa kanuni za uchaguzi za serikali za mitaa inayohusu makosa na adhabu na inasema kuwa mtu yeyote atakuwa ametenda kosa la uchaguzi endapo atavuruga ratiba ya mikutano ya kampeni za uchaguzi au atavunja masharti ya kampeni za uchaguzi.
Na adhabu yake imetajwa katika kanuni 49 (2) kuwa ni faini isiyozidi shilingi 300,000 au jela isizidi mwaka au vyote kwa pamoja.
Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na ningekuwa mimi ndio mamlaka lazima angekuwa behind the bar na jela kulivyokuwa na joto aisee.
PIA SOMA
- LGE2024 - Jeshi la Polisi wamkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe sababu hazijafahamika
Nakubalina na wewe ,ila hakuna mabambano ya hushindi mungu hayupo upande wenuHakuna kitu kama hicho lazima kupambana
Hadi PhD ya mzumbe itapukutika kama mchanga..?Mmekua waonevu, mmekua na majivuno ,Mungu anasema atawapukutisha kama mchanga
Kwamba kwa sasa MUNGU hayupo kwa jinsi CCM inavyotunyanyasa?Nakubalina na wewe ,ila hakuna mabambano ya hushindi mungu hayupo upande wenu
Maccm majinga sana mkuuKwamba kwa sasa MUNGU hayupo kwa jinsi CCM inavyotunyanyasa?
Ndio mkuuHadi PhD ya mzumbe itapukutika kama mchanga..?
Jopo la mawakilo 2 wa CDM ni mawakili laki 320 wa Jamhuri, how could it be easy?Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa inaonyesha kuwa ACT wangefanya mkutano, Mbowe kwenda kufanya mkutano kwenye ratiba ya ACT ilikuwa ni ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi.