Magufuli alivunja Billcanas ili kumkomoa, na akaharibu mashamba yake na kupora fedha zake . Kiko wapi sasa!? Akina Msoga na genge lake wanatamba sasa, na hao ndio walikuwa maadui wake. Wale aliosema wana washwawashwa.Kazungumza hayo wakati amekumbatia sega la asali.
Ila ni kweli JK anapenda sana kuonekana.Magufuli alivunja Billcanas ili kumkomoa, na akaharibu mashamba yake na kupora fedha zake . Kiko wapi sasa!? Akina Msoga na genge lake wanatamba sasa, na hao ndio walikuwa maadui wake. Wale aliosema wana washwawashwa.
Actually, inasemwa yeye ni Rais na yule bibi ni Malkia.Ila ni kweli JK anapenda sana kuonekana.
Hataki kukubali kuwa muda wake wa Urais umeshapita.
Kama amechoka apishe wengine.Mbowe yuko anapigania ustawi wa Watanzania miaka yote hiyo na raia wenyewe wananing'iniza makende wala hawachukui hatua kila siku kulalamika tu.
Mwishowe amejichokea nguvu za mikiki ya ujana hana hao raia wenyewe wanasema analamba asali.
Jukumu la kutetea nchi sio la Mbowe na wapinzani peke yao, sio shamba la urithi hili
Magufuli alishamaliza kazi yake aliyotumwa na BabaMagufuli alivunja Billcanas ili kumkomoa, na akaharibu mashamba yake na kupora fedha zake . Kiko wapi sasa!? Akina Msoga na genge lake wanatamba sasa, na hao ndio walikuwa maadui wake. Wale aliosema wana washwawashwa.
Ninakubaliana naye.Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anakerwa sana na Watu wanaodai amerambishwa asali.
Mbowe amesema yuko kwenye upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu hivyo kusema nalamba asali ni matusi kwangu
Source Ayo tv
Tunasikia Baba yenu mbowe anatamani awe kama Zitto yaani akabidhiwe pia kamzinga mzinga ila kwa sababu yeye kalamba asali ya nyuki wadogo hivyo imekuwa ngumu kumpatia mzinga. Ila Lisu naye kalamba asali, Lema kalamba asali. Mch. Msigwa kalamba asali. Sugu kalamba asali. Sijui nani hajalambishwa huko upinzani, ni wa kutafuta kwa tochi.una minyoo kichwani! you are to be ignored!
Huna akiliUnmsakizia Mbowe, nawe toka hadharani upambane na polisi ufe. Unataka Lisu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani upigwe risasi 16 . Jioga unajificha kwenye ID fake JF, unamsakizia Mbowe!
sawa, toka barabarani basi wewe mwenye akili! Uko JF na fake ID na nembo ya chadema wakati wewe ni chawa Lumumba! Bladifaken! Nitaku block some few minutes to come to reduce the number of reading nonsense posts/threads!Huna akili
how!!!???!!!Huyu mbowe ni mjinga
Yote ya hovyo tu.Kwa uelewa wangu Dhana ya kulamba asali tafsiri yake ni kwamba, walio na mamlaka wanayatumia vibaya kwa kujinufaisha wao zaidi na kuwakandamiza wasio na mamlaka. Yaani hawatendi haki.
Dhana ya kulambishwa asali,ni pale Anapotokea mpinzani wao anayewafungua macho watu, ndipo inabidi wenye mamlaka wampatie fursa ya kunufaika na yeye,ili kumstopisha asiendelee kuwapigania wanyonge wenzake.
Katika muktadha huo yupi ni hatari zaidi kwetu mlamba asali ambaye pia ni mlambisha asali au mlambishwa asali?
Tuanzie hapo.