Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

Kazungumza hayo wakati amekumbatia sega la asali.
Magufuli alivunja Billcanas ili kumkomoa, na akaharibu mashamba yake na kupora fedha zake . Kiko wapi sasa!? Akina Msoga na genge lake wanatamba sasa, na hao ndio walikuwa maadui wake. Wale aliosema wana washwawashwa.
 
Ila ni kweli JK anapenda sana kuonekana.

Hataki kukubali kuwa muda wake wa Urais umeshapita.
 
Mbowe yuko anapigania ustawi wa Watanzania miaka yote hiyo na raia wenyewe wananing'iniza makende wala hawachukui hatua kila siku kulalamika tu.
Mwishowe amejichokea nguvu za mikiki ya ujana hana hao raia wenyewe wanasema analamba asali.

Jukumu la kutetea nchi sio la Mbowe na wapinzani peke yao, sio shamba la urithi hili
Kama amechoka apishe wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alivunja Billcanas ili kumkomoa, na akaharibu mashamba yake na kupora fedha zake . Kiko wapi sasa!? Akina Msoga na genge lake wanatamba sasa, na hao ndio walikuwa maadui wake. Wale aliosema wana washwawashwa.
Magufuli alishamaliza kazi yake aliyotumwa na Baba
 
Harakati za kisiasa kwa Mbowe zimepoa sana tofauti na mwanzo. Sioni upinzani thabiti kutoka CDM shida ya dola.Hatuoni mikutano yao kuikosoa serikali nafikiri ndio hoja ya kulamba asali imejikita huko.
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anakerwa sana na Watu wanaodai amerambishwa asali.

Mbowe amesema yuko kwenye upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu hivyo kusema nalamba asali ni matusi kwangu

Source Ayo tv
Ninakubaliana naye.

Mbowe siyo mlamba sukari, lakini inawezekana pia ikawa kwamba kanyang'anywa ajenda na huyo
aliyetegemewa awe mpinzani wake.
Sasa atakuwa mpinzani wa kitu gani?
Naamini hili ndilo tatizo lililomkumba Mbowe.
 
una minyoo kichwani! you are to be ignored!
Tunasikia Baba yenu mbowe anatamani awe kama Zitto yaani akabidhiwe pia kamzinga mzinga ila kwa sababu yeye kalamba asali ya nyuki wadogo hivyo imekuwa ngumu kumpatia mzinga. Ila Lisu naye kalamba asali, Lema kalamba asali. Mch. Msigwa kalamba asali. Sugu kalamba asali. Sijui nani hajalambishwa huko upinzani, ni wa kutafuta kwa tochi.
 
Mimi kamanda huwa nakuchana live
Screenshot_20221212-022346.jpg
 
Unmsakizia Mbowe, nawe toka hadharani upambane na polisi ufe. Unataka Lisu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani upigwe risasi 16 . Jioga unajificha kwenye ID fake JF, unamsakizia Mbowe!
 
mbowe hana mda wa kutetea mapumbavu yanayoambiwa yaandamane kupinga wiz wa kura yamejikalisha tu tena mbowe kaa kimya kabisa mpaka haya mapumbavu ya tanzania akili ziyarudi ili siku ukiyaambie yaandamane yatie adabu.
 
Huna akili
sawa, toka barabarani basi wewe mwenye akili! Uko JF na fake ID na nembo ya chadema wakati wewe ni chawa Lumumba! Bladifaken! Nitaku block some few minutes to come to reduce the number of reading nonsense posts/threads!
 
Kwa uelewa wangu Dhana ya kulamba asali tafsiri yake ni kwamba, walio na mamlaka wanayatumia vibaya kwa kujinufaisha wao zaidi na kuwakandamiza wasio na mamlaka. Yaani hawatendi haki.
Dhana ya kulambishwa asali,ni pale Anapotokea mpinzani wao anayewafungua macho watu, ndipo inabidi wenye mamlaka wampatie fursa ya kunufaika na yeye,ili kumstopisha asiendelee kuwapigania wanyonge wenzake.
Katika muktadha huo yupi ni hatari zaidi kwetu mlamba asali ambaye pia ni mlambisha asali au mlambishwa asali?
Tuanzie hapo.
 
Yote ya hovyo tu.
"Kulamba asali" umelidadavua vizuri.
Kulamba asali ni aina ya rushwa ya kunyamazishwa ujue hivyo, kwa hiyo mĺamba na mlambishwa ni sawa na mtoaji na mpokeaji rushwa.
 
Mbowe ni mzalendo na anaijua hii nchi kuliko watanzania wengi. Baba yake Mbowe alikuwa tajiri kabla ya uhuru na kahusika na uhuru wa nchi hii kwa kufadhili harakati za kina mwalimu. Safari hii kaona akae kwenye maslahi ya nchi badala ya kuwa upande wa wahuni kama Lema na Mdude. Pia ikumbukwe CHADEMA ni mali yake binafsi aliyorithishwa kwahiyo hawezi akawa mjinga kumsikiliza Lissu au Mdude akaishia kuweka pabaya maslahi yake ya kibiashara. Nampongeza sana Mzalendo Mbowe kwa kuamua kutanguliza kwanza taifa lake.
 
Inabidi turudi nyuma tuangalie ilikuwaje Chdema ikakubali kumkaribisha Lowassa kuingia chdema nq kumpatia nafasi ya kuwa mgombea urais.
 
Back
Top Bottom