mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Subiri utafrahii mwaka huuNdio keshamaliza kuhesabu kura zake nchi ya jirani?? 😆😆😆😆😆😆
mugah di mathew aona unatest mitambo ya bvr tehetehee
alitahadharisha kuwa kitendo chochote cha kuwazuia mawakala wao 80,160 nchi nzima.....
Subiri utafrahii mwaka huu
J5 tutaendesha interview ya uDC na uRC unaombwa kuhudhuria bila kukosa
Sifa hitajika
Mtanzania
Miaka 23 -55
Akili timamu
Ujue kusoma English na kiswahili
Kiingereza kina tabia mbaya Sana. Haikiwapendi wanaokipenda.Mola Ejani Leonard
“When tension extend to violent armed conflicts, these types of situation can be seen. How we fight matters because it is very painful to see young people who are going to school die Akwilina this way. If you want to fight war, attack military targets and not civilians.”
CNA
Lissu You deserve power 100%
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kumekucha !