Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Vipi mkui?Mambo yazidi kuwa Muruwaa Ole sabaya ole wake
Ni kweli? Lep vip?Maalim Seif asema msimamo wake ni "JINO kwa JINO"
Vip bado mkoloni yupo?Mkoloni Mweusi anaenda kung'oka kwa Dua udi na uvumba
Mahakama ya kimataifa imesaidia?Jidanganyeni safari hii kuna Mahakama ya Kimataifa na tuliasini
Imekuaje? WaTZ wamekataa?Mbowe nae amefanya haraka kutamka maneno hayo.
All in all Lissu anashinda uchaguzi huu kwa machozi jasho na damu ya watanzania waliolia kwa miaka mitano chini ya tyrant Magufuli.