Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,517
- 1,869
Unamsema yule aliyeingia kwa kura feki?Laana ya uongo na uzushi inatembea. Shetani hachoki . Mungu wetu anatupenda tuko salama dhidi yao.
Mungu ibariki Tanzania na Raisi wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsema yule aliyeingia kwa kura feki?Laana ya uongo na uzushi inatembea. Shetani hachoki . Mungu wetu anatupenda tuko salama dhidi yao.
Mungu ibariki Tanzania na Raisi wetu.
NI icc Tena siyo process za u waziri mkuu Tena?Hopefully process nyingine zinaendelea ICC..
😂😂😂😂😂😂😂😂Hongera kwao, wenzao nao wakisema wasianze kulialia.
Mbowe akiwa waziri mkuu Ndani ya masaa 72 yajayo na Mimi nitakuwa waziri was Afya ndani ya masaa 72 yajayo hahahahaa
Aliyemwona waziri mkuu wa walevi ani bip.Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Waziri mkuu wa walevi wa konyagi.
Duh...!.Inakuwaje wanajamvi!
Mbowe amenisikitisha sana
akumbuke kuna wachawi wabobezi kwenye mbogamboga anaweza akapigwa juju, kimbola ama kipamphii.
Ila iyo haitatokea Mungu yupo upande wetu.
Nina rafiki yangu anaitwa Pamphilius amekaa kiaina sana, nimeona hii comment nimejikuta nacheka😀😀Jumatano si mbali akumbuke kuna wachawi wabobezi kwenye mbogamboga anaweza akapigwa juju, kimbola ama kipamphii.
[emoji38][emoji38]Bado anaota tuu?
Ha!ha!Mbowe atakuwa waziri mkuu siku yule jamaa wa kwenye konyagi akishusha mikono
Vipi mnaendeleaje baada ya Kipigo?Kumekucha !
Kamalila kuvuta bangi kwa ghetto la Cyprian Musiba, Na ameamua kukupa mbunge mmoja wa Nkasi Kaskazini.Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba?