Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa hi KaliKiingereza kina tabia mbaya Sana. Haikiwapendi wanaokipenda.
Wewe na huyo jamaa yako wote ni wapumbavu.Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Polisi watoka Baruti baada ya wao kulianzisha Mashambulizi yakajibiwa
😂😂😂😂
Mwisho wenu umefika rasmi , wanafiki wakubwa nyieNdani ya chumba uchaguzi kuna mawakala wa vyama 16 Huyo mmoja tu sijui wa chadema nani ahangaike naye.
Chadema mnaanza kuhaha.Safari hii ngoja watu wa Dar es salaam tuongoze mikoa mingine kuwanyima kura.Tumewachoka kwa mambo yenu ya kizushi na uongo yasiyoisha .Tarehe 28 October chadema mnafungashwa virago Dar es salaam for good
Uchaguzi keshokutwa Chadema bye bye Tanzania bara wabunge wenu wakatafute kingine cha kufanya kwenye maishaMwisho wenu umefika rasmi , wanafiki wakubwa nyie
umedanganyika kibwege sana !Uchaguzi keshokutwa Chadema bye bye Tanzania bara wabunge wenu wakatafute kingine cha kufanya kwenye maisha
Nashangaa moderator anakubali kurusha uzi wa uchochezi wa aina hii. JF tunajua mwelekeo wenu wa siasa ukoje lakini achaeni upendeleo wa wazi mnaoonesha hivi sasa na kuruhusu nyuzi kama hizi tu kwa sababu zinaegemea kuchafua CCM. Kuweni fair japo najua ni ngumu kwenuWatanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vimejificha katika sentensi yako. Najua wamaanisha nini hahaHivi mawakala ni walipwa shilingi ngapi kwa siku?
Ushindi ni sayansi na sayansi ni hesabu💥
Hujui chochote mkuu hii lughaKama hujayaona makosa imekula kwako. Nirekebishe bure bure tu? Lete hela. Nani alikuambia usome kayumba?
Wasijidanganye kuua wakala ndio itakuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi na hapo ndio MABEBERU watakapoingia kusimamia Uchaguzi.Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio keshamaliza kuhesabu kura zake nchi ya jirani? 😆😆😆😆😆😆
mugah di mathew aona unatest mitambo ya bvr tehetehee