Professor mjinga
Member
- Oct 24, 2020
- 72
- 50
Washapanga safu ya uongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania mnaonekana kama mmechoka amani vile? Ninawaombea kwa Mungu mwikose hiyo amani ili nyie wenyewe, watoto wenu na vijuu kuu vyenu vije kumlilia Magufuli kama Wairaq na wasudani kasakazini hivi sasa wanafanya.Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
tulia kamanda, tumejipanga kushindaWatanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mola Ejani Leonard
“When tension extend to violent armed conflicts, these types of situation can be seen. How we fight matters because it is very painful to see young people who are going to school die Akwilina this way. If you want to fight war, attack military targets and not civilians.”
CNA
Lissu You deserve power 100%
Naona kaisha jipangia cheo[emoji23][emoji23] sema nini tarehe 28 si mbali ukweli utajulikana tuu. Kilio chetu kimesikiwa tujipe subra
Hivi mawakala ni walipwa shilingi ngapi kwa siku?
Ushindi ni sayansi na sayansi ni hesabu[emoji95]
Kiingereza kina tabia mbaya Sana. Haikiwapendi wanaokipenda.
wameshaanza kugawana na vyeo kabisa
Watanzania mnaonekana kama mmechoka amani vile? Ninawaombea kwa Mungu mwikose hiyo amani ili nyie wenyewe, watoto wenu na vijuu kuu vyenu vije kumlilia Magufuli kama Wairaq na wasudani kasakazini hivi sasa wanafanya.
Msikufuru mungu ndugu zangu. Hakuna Uhuru mwingine kama huu mlio upata na hakuna haki nyingine kama hii mliyo ipata.
Msidanganyike kuwa wazungu ni wakombozi wenu. Hicho kitu hakipo. Mbona mnaonekana kama mmelogwa vile?
Magufuli hawa watanzania nina uhakika kuwa wamelogwa kwasababu naona kama hawajitambui vile?
Jamani Lissu ni demon ambaye amekuja kuwaharibia nchi yenu. Kwanini hamlioni hilo? Mnataka nini hasa? Oooh my God! Watanzania amkeni please! Mbona mnakuwa wajinga namna hiyo? Mnajua mtachekwa sana na ulimwengu kwa vitendo vyenu vya kubeza vyenu na kutukuza vya wenzenu? Mnataka Mungu awape nini nyie?
Nawaomba wote kuingalia hii clip amabyo imetrend sana wiki hizi mbili kwenye mitandao ya kijamii. Haya ndiyo mawazo ya wazungu juu yetu. Bado hamwuelewi tu?
Zitto kabwe ni waziri wa afyaWaziri Mkuu atakuwa Zitto Kabwe