Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Duh!waziri mkuu kishajichagua!kimtindo huu unaweza kukuta kishajua hadi house girl wake anaenda kuwa dc wilaya gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituo hewa vya nini sasa?siasa za tanzania ni siasa za mahaba ndo maaana miaka yote matokeo ni yale yale kila uchaguzi, hata ukiangalia uchaguzi wa kutafuta mwenyekiti wa chadema matokeo ni yale yale,
Ok, nimekaa Old Kampala,Kipindi hiki nilikuwa ninapata 'Elimu' yangu ya 'Ordinary' na 'Advanced' kutoka kwa 'Walimu' wa Kiganda na Taifa zuri 'Kielimu' hapa EAC la Uganda.
Vituo hewa vya nini sasa?
Mbowe anatuma ujumbe kwa Lissu kuwa yeye ndio mkuu anayeamua nini kifanyike.wameshaanza kugawana na vyeo kabisa
Nimekaa Nakasero, Entebbe, Kololo, Makindye, Ntinda na Mbuya wakati nimecheza mno Mpira hapo Viwanja vya Lugogo wakati hapo Owino Market nilikuwa nikienda sana kununua 'Viwalo' na 'Ndaba' za uhakika japo ni za 'Mitumba' tupu. Nyuma ya hapo Soko Kuu la Kampala la Owino kuna 'Lodge' moja 'maarufu' inayopendwa na Watanzania wengi iitwayo 'Samalien' ambapo wakati 'tukitoroka' Shuleni kwenda 'Mziki' tukinunua 'Migoma' ya Kiganda kutoka katika zilizokuwa 'Kumbi' zao Kuu za 'Starehe' za 'Club Silk' na 'Ange Noir' tulikuwa tukienda 'Kuitandikia' hapo.Ok, nimekaa Old Kampala,
Mitaa ya Kamocha, Ntinda View na kwingineko naikumbuka sana,
Sitasahau owino Market.
Kama ulozoea kula kwa kutegemea CCM basi tafuta kazi rasmi ya kufanyaTegemea matokeo Yale Yale nothing new
Lisu akiwa Rais atapewa hata ubunge wa kuteuliwaUbunge bado unawaza Uwaziri mkuu dah siasa hizi.
Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba?Kama CDM watapata wabunge watatu sijui
mbowe mtoto wa mjini kweli kweliMbowe anatuma ujumbe kwa Lissu kuwa yeye ndio mkuu anayeamua nini kifanyike.
Mbona wewe unatetea CCM mitaani na mitandaoni huku ukivizia uteuziDuh!waziri mkuu kishajichagua!kimtindo huu unaweza kukuta kishajua hadi house girl wake anaenda kuwa dc wilaya gani
Sheraton Hotel haikuwa mbali Sana na Ubalozi wa Tanzania,Nimekaa Nakasero, Entebbe, Kololo, Makindye, Ntinda na Mbuya wakati nimecheza mno Mpira hapo Viwanja vya Lugogo wakati hapo Owino Market nilikuwa nikienda sana kununua 'Viwalo' na 'Ndaba' za uhakika japo ni za 'Mitumba' tupu. Nyuma ya hapo Soko Kuu la Kampala la Owino kuna 'Lodge' moja 'maarufu' inayopendwa na Watanzania wengi iitwayo 'Samalien' ambapo wakati 'tukitoroka' Shuleni kwenda 'Mziki' tukinunua 'Migoma' ya Kiganda kutoka katika zilizokuwa 'Kumbi' zao Kuu za 'Starehe' za 'Club Silk' na 'Ange Noir' tulikuwa tukienda 'Kuitandikia' hapo.
Kuanzia Mtaa ilipo Hotel ya Sheraton Uganda, Posta, Benki Kuu ya Uganda hadi Jengo la Bunge la Uganda ambapo kwa ndani yake pia ipo Ofisi ya Rais na Makamu wake ndiyo 'Mitaa' ambayo Wanafunzi wengi wa 'Kitanzania' hupenda Kununua 'Migoma' ya 'Kiganda' na nakumbuka kuna Siku 'nilibananishwa' na 'Polisi' wa Uganda nikiwa na 'Goma' moja la 'Kinyankole' katika 'Tendo' la 'Uzinifu' chini ya Ngazi za Jengo la Posta ambalo 'nilidakwa' huku 'Suruali' yangu ikiwa 'Magotini' na 'Mkuyenge' wangu ukiwa tayari umeshaonyesha Ushirikiano na 'Mbunye' lakini nilichowafanya wale 'Polisi' wa Uganda nina uhakika hadi leo hii 'wakinikumbuka' huwa wanasema kuwa hakuna Watu wenye 'Akili' na 'Wajanja' sana Afrika Mashariki, Afrika na huenda hata Ulimwenguni ( Duniani ) kama Watanzania.
Kwa aina ya 'Mbio' nilizotimua Siku ile nina uhakika wa 100% kama Chama cha Riadha cha Olympic nchini Tanzania 'wangenishuhudia' basi 'wangeamuru' pale pale nami GENTAMYCINE niwe 'Mshiriki' wa kila mwaka wa 'Mbio' hizo na wangekuwa na uhakika wa Mimi kuwaletea 'Medani' ama za Dhahabu au Fedha. Na hii yote ilikuwa ni kati ya mwaka 1996 hadi 2002 ambayo wengi wenu hapa najua bado mlikuwa katika 'Zipu' za Baba zenu au mmeshazaliwa ila mlikuwa mnashinda tu katika 'Mabeseni' ya Kuogea mkiogeshwa tu.