Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Mbowe unawadanganya kina nani ? wakazi wa njee ya hai au Kilimanjaro? watu wa Hai ndio ambao hawakutaki na sio Magufuli.

Labda angekuja mwanachadema mwingine wangempa kura. Wamachame hawakutaki wewe na unafahamu nini sababu.

Nipo Lyamungo Sinde na nitakaa nione nini kinatokea baada ya uchaguzi, voters here have no political feeling with you.

Kama mtalazimisha Kawe shauri yenu, sababu Dar tunakwenda kuhemea na sio Machame. Machame Kura zitakuumbua.

NEC mumsaidie kipesa alete wasaidizi vituo vyote ili muondoe uwongo unaojaribu kutengeza. In electoral politics, it comes a time voters do not need you, it is part and parcel of election appealing circles. Spew out your lies to non Machames, but here in Hai contituecy you know, and sundries know we wait for your defeat with impatience.

The sad story of the matter, it seems there is a disconnect between residents of Hai vs non residents of Hai in regards to choices.
 
Naomba niwatahadharidhe wale wanaokusudia kumpigia kura Lissu wasiongee wala kujadili vijiweni. Mabalozi wa shina wa CCM wameelekezwa kuhakikisha kuwa watu hao hawakanyagi vituoni. Posho waliyopewa wanaccm ni kuwa ni heri usipige kura ila uteke wapinzani hasa Chadema watatu na kuhakikisha kuwa hawapigi kura siku hiyo. Posho ni Tshs laki moja.
Hivyo tahadhari ni muhimu. Pia ikiwezekana siku ya kwenda kupiga kura badili njia na muda wa kutoka!
Da uchaguzi huu mtam mfano balozi wangu wa shina ni mzee ,Sasa sijui ataanzia wapi kuniteka maana akiniteka nitahakikisha nakula chakula kwake mwaka mzima Tena ninachokitaka mpaka akome, mwafaa ccm
 
Tena ndani ya 48hrs ndio upepo wa CCM umebadilika sana angalieni Lissu akitua Dar watu wengi wamebadilisha mawazo
 
Exit Polls ndio Ramli muhimu

Nyie mnafanya siasa za mahaba mnaacha kuweka mahaba kwa wananchi, we angalia tu hata twitter, magufuli anakaribia followers mil 1, karibia wana ccm wengi wanacheza mil 1 - mil 5, sasa chadema lissu mwenyewe ana 150K. badala muinteract na wananchi mnafanya siasa za mahaba!

- Hakuna uchaguzi chadema imeenda na haijasema huu uchaguzi ndo tunachukua nchi kila miaka mitano story ni zilezile na matokeo ni yale yale.
 
Mbowe kaka yangu umenifurahisha sana. Yani Tundu Lissu akitangazwa tuu nakata ticket nakurudi nyumbani na sitaificha identity yangu tena humu. Nitatamani sana kuwaona yna2 na mama D na nitawabebea zawadi nyingi sana. Kama Jiwe akipitishawa kwa nguvu na mahela then I will forever never see these two women who I feel them dispite the fact I don't know them.

Na Lissu naye amkumbuke akishinda na azingue tutampindua hatutataka mchezo tena siku 100 zinapita bila Katiba mpya hatutavumilia tena.

Siamini Tanzania mpya inakuja kila Kaya itakuwa na apartments na mabomba kuwa na opshen tatu, maji Safi na salama, asali na maziwa all of them cold warm or hot ni ku switch tu.

Fakin exied.

Mungu tusaidie!

Ncha Kali

Hahaha Nguseroh Tundu hapitiiii tena chadema wajiandae kupoteza nafasi za wabunge
Alikosea kuanza kampeni kwa kuwadharau wabongo
 
Nyie mnafanya siasa za mahaba mnaacha kuweka mahaba kwa wananchi, we angalia tu hata twitter, magufuli anakaribia followers mil 1, karibia wana ccm wengi wanacheza mil 1 - mil 5, sasa chadema lissu mwenyewe ana 150K. badala muinteract na wananchi mnafanya siasa za mahaba!

- Hakuna uchaguzi chadema imeenda na haijasema huu uchaguzi ndo tunachukua nchi kila miaka mitano story ni zilezile na matokeo ni yale yale.
Yanini tutoane koromeo 28 sio mbali halafu tuje tukutane humu
 
Data zilisema Hilary Clinton atashinda kwa Landslide dhidi ya Trump

sasa siasa za marekani ni vyama viwili, your either huku ama kule, uikusanya data its either B ama A, tanzania ukikusanya data upinzani wapo 40 tayar
 
ukitaka kujua matokeo ya uchaguzi mzima wa kesho kutwa, hii video ina majibu yote! shirikisha ubongo maaana data anazosema
ni watu walilipwa kufanya uchunguzi huu utajua wap mnakosea na mwaka huu mnatoka na ngap

stakehigh umefukua kaburi😆😆😆
Ila Tundu anawadharau sana watanzania mfyuuuuu
 
Yanini tutoane koromeo 28 sio mbali halafu tuje tukutane humu
hahaha kila mwaka maneno ni haya haya hakuna lipya, au nkuletee post za jinsi lowasa hata uchaguzi hujafanyika kaenda kupanda dalala kutatua kero za wananchi, route ni zile zile and be asured kuna uwezekano ccm wakakutawala maisha yako yote, jumlisha 10 ya magu, jumlisha 10 ya anaekuja maaana lazima atembelee kivuli cha magu, akifanya vizuri kumi tena! ongeza miaka 30 kwenye umri ulionao saahv, na wakifanya vizuri zaidi rambo rambo yako watafanyia kampeni
 
Jitekenye cheek ila tarehe 28 ndio msema kweli
 
Back
Top Bottom