Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Wanalipwa teuzii

Teuzi ni nyingi tunafyeka maDC,RC,DAS,RAS,RSO,mabalozi ,MaDED ,wakurugenzi wa mashirika ya umma,Wenyeviti wa taasisi za serikali nk

Nadhani unatakiwa taasisi ya urais isafishe vibaraka wa mafisadi zaidi ya 100K

Aisee mbona viongozi wenu walaghai sana? Yaani mimi huyo ukanipe kazi ya uwakala kwa malipo ya uteuzi? Halafu mkishindwa😁😁😁
 
Kumbuka Chadema walifungiwa mikutano ya hadhara CCM ikawa peke yake

Kumbuka pia CCM imetumia Mabilioni ya fedha ili kuiuwa Chadema

mm sjasema kuhusu nan alikua anafanya siasa miaka minne, nmesema chadema nliokua naijua 2015 na inaonekana apa ni mda wa kuwaonea huruma, lissu ameenda arusha watu waliompokea skutegemea, nmeangalia kuanzia yupo njiani mpaka anafika town, yaani barabara nzima, tengeru, philips, sanawari , mianzini mpaka sku anarudi sina la kusema zaidi ya huruma itumike tu, mna hali mbaya!

- nkiangalia jinsi ccm wameingia moshi na arusha kuanzia himo watu waliokua barabaran mpaka mkutano mkuu, sina usemi
 
Mlisema nyie kuwa Nyomi sio kura ama?
 
Mlisema nyie kuwa Nyomi sio kura ama?

- yes excatly! hapo unapata hint tu, ndo maaana nkasema chadema ya 2015 na hii nayoona apa ni mnahitaji huruma tu, sasa ntasema nn zaidi ya hii, mm najua PCS zenu lakini sio kwamba nmeangalia nyomi najua tu kura zenu znacheza 20% to 30%, kuanzia 2020 imeanza mpaka leo mnachezea apo statistically, natumia na data za 2015 pia
 
20201025_193037.jpg

Mbowe aliombea Taifa
 
Ni hatari kwelikweli...Ni vizuri kutulia home siku hiyo.
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Rais

Chanzo: Mwananchi online

====

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mbowe ametoa kauli hiyo leo Jumapili Oktoba 25 katika mji mdogo wa Bomang'ombe wilaya ya Hai wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni huku akisema Mungu akipenda, yeye anakwenda kuwa Waziri mkuu.

Hata hivyo, Mbowe ambaye pia anagombea ubunge jimbo la Hai, alitahadharisha kuwa kitendo chochote cha kuwazuia mawakala wao 80,160 nchi nzima wasiingie kwenye vituo vya kupigia kura Oktoba 28, kunaweza kubadili historia ya Tanzania.

Hivyo, aliisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi na vyombo vya Usalama, kuhakikisha hakuna jaribio lolote la kuwazuia mawakala wao kuingia kwenye vituo kusimamia upigaji kura na wao watakuwa tayari kukubali matokeo kama uchaguzi utakuwa wa huru na haki.

"Uchaguzi huu sio kati ya Chadema na CCM wala uchaguzi huu sio kati ya Lissu na Magufuli (mgombea urais wa CCM) bali ni kati ya wanaopenda uhuru na haki na waliokandamiza uhuru na demokrasia," alisema Mbowe.

Mbowe amesema wamezunguka mikoa yote ya Tanzania na wananchi wapo tayari kufanya mabadiliko ya uongozi na kusisitiza kuwa kwa mwonekano na hamasa waliyoionyesha Watanzania, Lissu anakwenda kuwa Rais ndani ya saa 72 zijazo.

Hivyo, ameitaka NEC kuhakikisha uchaguzi huu hauvurugwi kwa namna yoyote kwa sababu gharama yake itakuwa kubwa na kusisitiza kuwa wako tayari kukubali kushindwa kama NEC na vyombo vingine vitahakikisha uchaguzi umekuwa wa wazi, huru na haki.
Mwaka huu mh mbowe tutagombana ,maana mh lissu akisha kua rais anatakiwa kuniteua Mimi kuwa waziri mkuu kwa kweli....(natania ndugu zangu ,Mimi nawaombea katika yeye hatupae pumzi)
 
mm sjasema kuhusu nan alikua anafanya siasa miaka minne, nmesema chadema nliokua naijua 2015 na inaonekana apa ni mda wa kuwaonea huruma, lissu ameenda arusha watu waliompokea skutegemea, nmeangalia kuanzia yupo njiani mpaka anafika town, yaani barabara nzima, tengeru, philips, sanawari , mianzini mpaka sku anarudi sina la kusema zaidi ya huruma itumike tu, mna hali mbaya!

- nkiangalia jinsi ccm wameingia moshi na arusha kuanzia himo watu waliokua barabaran mpaka mkutano mkuu, sina usemi
Ni hatari sana kuunga mkono chama ambacho hata viongozi wake ndani ya chama hawajaungana - waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye
 
Mbowe kaka yangu umenifurahisha sana. Yani Tundu Lissu akitangazwa tuu nakata ticket nakurudi nyumbani na sitaificha identity yangu tena humu. Nitatamani sana kuwaona yna2 na mama D na nitawabebea zawadi nyingi sana. Kama Jiwe akipitishawa kwa nguvu na mahela then I will forever never see these two women who I feel them dispite the fact I don't know them.

Na Lissu naye amkumbuke akishinda na azingue tutampindua hatutataka mchezo tena siku 100 zinapita bila Katiba mpya hatutavumilia tena.

Siamini Tanzania mpya inakuja kila Kaya itakuwa na apartments na mabomba kuwa na opshen tatu, maji Safi na salama, asali na maziwa all of them cold warm or hot ni ku switch tu.

Fakin exited.

Mungu tusaidie!

Ncha Kali
 
Mlisema nyie kuwa Nyomi sio kura ama?
ukitaka kujua matokeo ya uchaguzi mzima wa kesho kutwa, hii video ina majibu yote! shirikisha ubongo maaana data anazosema
ni watu walilipwa kufanya uchunguzi huu utajua wap mnakosea na mwaka huu mnatoka na ngap

- yes excatly! hapo unapata hint tu, ndo maaana nkasema chadema ya 2015 na hii nayoona apa ni mnahitaji huruma tu, sasa ntasema nn zaidi ya hii, mm najua PCS zenu lakini sio kwamba nmeangalia nyomi najua tu kura zenu znacheza 20% to 30%, kuanzia 2020 imeanza mpaka leo mnachezea apo statistically, natumia na data za 2015 pia
Bila Wizi na uenguaji ilikuwa tunapiga 70% kwa sababu ya mpango ya Wizi Mimi nilikuwa mwanaCCM najua
Sasa hivi tuna uhakika wa Kura za Raisi 66% ni Tundu
 
ukitaka kujua matokeo ya uchaguzi mzima wa kesho kutwa, hii video ina majibu yote! shirikisha ubongo maaana data anazosema
ni watu walilipwa kufanya uchunguzi huu utajua wap mnakosea na mwaka huu mnatoka na ngap

Exit Polls ndio Ramli muhimu
 
Back
Top Bottom