Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
 
Mtazamo zamo mc usiogope kivuli.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Ameshahamia Chauma ?
 
Gwiji au kiongozi aliyekaa madarakani mda mrefu na kupoteza legacy yake kwa sekunde.
walio muhujumu si lisu na henche, wakidhani wanaweza kuzima na kufuta legacy yake.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Gwiji kashindwa vipi uchaguzi wa ndani kugombea uenyekiti wa chama?
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Kuna eneo ilichanga karata vibaya. Nchi ilimuhitaji Lissu, alitakiwa kusoma alama za nyakati na kustaafu kwa heshima.

Mbowe hana tena ushawishi. Akiamia Chaumma ndio atazidi kujimaliza.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.

Ukiona ma CCM yanakusifu jiulize x 80
 
Kafanyiwa uasi kivipi wakati uchaguzi ulikuwa wa wazi kabisa watu wameona mpaka tulio nje tumeona kwenye mtandao?

Sikiliza clip ya Wenje ndio utajua Mbowe alifanyiwa uasi na genge la wahuni ndani ya chadema.
 
Back
Top Bottom