Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Mbowe aliongoza CHADEMA vizuri. Lakini tusidanganyike. CHADEMA imefika hapa ilipo kutokana na michango ya watu wengi. Sikatai kuwa Mbowe ndiyo anastahili sifa kwa sababu ya uongozi wake lakini chama kimakubalika kwa sababu ya michango ya wengi. Kosa kubwa walilolifanya (akiwepo yeye) ni kuondoa ukomo wa kugombea uenyekiti. Hii ilimfanya Mbowe kuzoea madaraka mpaka kiasi cha kudhani yeye ndiye CHADEMA.
 
Sikiliza clip ya Wenje ndio utajua Mbowe alifanyiwa uasi na genge la wahuni ndani ya chadema.
Yani Wenje ndiye umemuona mtu wa kumsikikiza kabisa? Wenje?

(Kwa sauti ya Chief Odemba) Wenje kweli kabisa?

Wenje?
 
Ukiona CCM hawana hofu na kiongozi wa chama cha siasa tofauti na CCM,basi huyo kiongozi ni WAKALA wa CCM na anafanya kazi za CCM ndani ya hicho chama.
 
Tangu atiwe Korokoloni miezi 8,Ugwiji uliisha kabisa.
Sasa ni Gwiji la Udalali.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.

Gwiji kwenye Nini?. Yule ni tapeli tu Hana lolote. Lissu kamstaafisha siasa kwa nguvu.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Ukitaka kujua MTU Mjinga ,mpe muda wakumsikiliza au kusoma alichoandika.

Hivi huwanatumia matakoo kuandika ?.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.

Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Akienda chauma ndio atakuwa kajimaliza kabisa. Itakuwa "from hero to zero". Endapo kwake ataona/anaona pesa ni bora kuliko heshima na thamani kwa wanamageuzi wote nchini, basi aendelee... na ajiunge na chauma.
 
Back
Top Bottom