Mtazamo zamo mc usiogope kivuli.Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Ameshahamia Chauma ?Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Nasikia anashonesha gwanda la chauma.Ameshahamia Chauma ?
Aje nimpe dela la mke wangu.Nasikia anashonesha gwanda la chauma.
walio muhujumu si lisu na henche, wakidhani wanaweza kuzima na kufuta legacy yake.Gwiji au kiongozi aliyekaa madarakani mda mrefu na kupoteza legacy yake kwa sekunde.
Legacy yake anaifuta mwenyewe.walio muhujumu si lisu na henche, wakidhani wanaweza kuzima na kufuta legacy yake.
Gwiji kashindwa vipi uchaguzi wa ndani kugombea uenyekiti wa chama?Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Kuna eneo ilichanga karata vibaya. Nchi ilimuhitaji Lissu, alitakiwa kusoma alama za nyakati na kustaafu kwa heshima.Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Gwiji kashindwa vipi uchaguzi wa ndani kugombea uenyekiti wa chama?
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na wahuni.
Kafanyiwa uasi kivipi wakati uchaguzi ulikuwa wa wazi kabisa watu wameona mpaka tulio nje tumeona kwenye mtandao?Hakushindwa bali alifanyiwa UASI na genge la wahuni henche na wenzake
Ukiona ma CCM yanakusifu jiulize x 80
Kafanyiwa uasi kivipi wakati uchaguzi ulikuwa wa wazi kabisa watu wameona mpaka tulio nje tumeona kwenye mtandao?