Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kati ya viumbe wa ajabu hapa duniani namba moja ni wanasiasa. Mwanasiasa akiamua jambo lake hana tofauti na mlevi wa dini. Atatukana hata aliyemzaa.
 
Hakuna Mwenye akili Timamu anayeweza kubali kuona akatoa kura yake ya ndio kwa lissu na kumuacha Mbowe.
Genge la kina boni Yai na na nyere na akaunnti zenu za mchongo haziwez wasaidia lolote!
Sasa mbowe ana jipya gani akibakia kuwa mwenyekiti!

Hata kama wewe ni mbumbu wa siasa hujui kusoma inamaana hata picha huoni!
 
CHADEMA itaendelea kuongozwa na mtu mwenye akili Timamu maana inahitaji mwenye akili Timamu na anayejitambua kuiongoza.na hivyo Mbowe ndiye atakaye chaguliwa kwa kura nyingi sana na wana CHADEMA
 
Mimi sina njaa dogo.kama wewe una njaa sema usaidiwe tu.
Wewe kapuku umsaidie nani nawe unatembeza bakuli hapa jukwaani. Kila mtu hapa anajua kuwa hizi makala zako za kusifia sifia wanaume ni njaa hiyo unataka utupiwe japo makombo kapuku mkubwa wewe.
 
CHADEMA itaendelea kuongozwa na mtu mwenye akili Timamu maana inahitaji mwenye akili Timamu na anayejitambua kuiongoza.na hivyo Mbowe ndiye atakaye chaguliwa kwa kura nyingi sana na wana CHADEMA
Naona umechukua nafasi ya Dr. Lillian Mtei sasa unajiamanua manua tu kwa Mbowe sasa.
 
Wewe kapuku umsaidie nani nawe unatembeza bakuli hapa jukwaani. Kila mtu hapa anajua kuwa hizi makala zako za kusifia sifia wanaume ni njaa hiyo unataka utupiwe japo makombo kapuku mkubwa wewe.
Wewe sema tu usaidiwe kama unahitaji maana naona njaa imekupanda kichwani .sema tu wala usihofu.
 
CHADEMA itaendelea kuongozwa na mtu mwenye akili Timamu maana inahitaji mwenye akili Timamu na anayejitambua kuiongoza.na hivyo Mbowe ndiye atakaye chaguliwa kwa kura nyingi sana na wana CHADEMA
Kwahiyo chama kilipomteua Lisu kugombea uraisi alikuwa hana akili timamu!?
Yaani wamwamini nafas ya urais halafu asifae kwenye uenyekiti wa chama!
Hivi unaakili sawasawa kweli wewe Nyerere?
 
So what? Mbowe must go
 
Wewe sema tu usaidiwe kama unahitaji maana naona njaa imekupanda kichwani .sema tu wala usihofu.
Nikupe location uje hapa nyumbani utakaa hadi mwaka mpya nitakufanyia shopping ya maana uachane na huu ujinga wa kujiuza hapa JF unaidhalilisha sana familia yako.
 
Pata kwanza chakula uponye njaa yako na kurejesha akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…