Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shukrani ya punda mateke. Tundu Lissu ni kama ile hadithi ya ngamia ... kwanza pua .... baadaye masikio ... baadaye uso wote .. .. hatimaye mwili wote hadi mwenye tenti kakosa pa kukaa na kulazimika kuondoka kwenye tenti lake
Huu mfano wa kijinga sana mkila pesa za mbowe mnajitoa fahamu zote, mbowe alifanya wajibu wake si hisani na sasa ni uchaguzi Ulitaka Lisu aache kusema mapungufu ya mbowe kisa wewe unakula pesa za mbowe ?
 
Chawa wa mbowe kuleni pesa mbowe kwa bidii kwani kaiba pesa nyingi sana na alikuwa mchoyo sana, sasa mungu kaamua ziliwe kupitia chawa kuleni, endelea kuandika ujinga toeni mifano ya kijinga kula pesa mpaka Mbowe anyooke hata akiiba kura akifanya uchakachuaji akawa mwenyekiti awe anajua kuwa watanzania wanamjua ni mwizi na uenyekiti wake ni haramu
 
Angeamua kumuacha hapa hapa Nchini nani angemlaum?
Mungu alikuwa kaamua Lisu awe hai endapo Mbowe angekwepa wajibu wake mungu angekuja na njia zingine, Mbowe anatumia pesa nyingi kuwalipa chawa anaununua uenyekiti kwa gharama kubwa sana, kwa upande mwingine ni vizuri kwani pesa yake inaliwa na wengi tofauti na awali alikula peke yake kiuchoyo
 
Wajumbe kuleni kwa bidii pesa za mbowe msichoke kula pesa kuleni kwa wingi zaidi
 
Usivyojua ni kwamba meno ya mbwa hayaumani na michezo ya siasa ilivyo. We ni mwanaccm unajuaje kama mnazugwa muone kama wana bifu ili muingizwe chaka mpotee maboya? Chadema ni chama cha upinzani wanasiasa wake ni wamoja kama ilivyo kwa wanasiasa wa ccm. Huko ccm kama si fomu mmoja kutoka ili kumuachia mama amalizie muhula wake wa pili sasa hivi kungekuwa na makundi mengi ya kuutaka urais kupitia chama hicho. Ccm ingekuwa ipo wakati mgumu kudhibiti makundi hayo ya wanamitandao ya kusaka urais na wewe lukas ungekuwa uko bize kumfanyia propaganda mtaka urais wako. Ila kwa sasa we endelea kupiga kambi chadema umponde lissu ashindwe kupanda juu kuja kuwapa changamoto kwenye kampeni zenu hapo mwakani kunako uchaguzi mkuu. Mnamuogopa sana lissu msema ukweli asiyetishika wala kuhongeka, kazi mnayo wana ccm
 
MBowe angekufanyia hivyo wewe bila shaka ungejitoa kwake akuoe kabisa bure tu.😁
 
Huu utetezi wa kijinga wa kulipana fadhila uko huko ccm. Bakini nao huko huko ccm. Subiri siku Mbowe apigwe risasi kama Lisu hajapambania uhai wake. Lakini kwa sasa muda wa Mbowe madarakani umefikia tamati. chawa kama hutaji jinyonge.
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako timamu unaweza mpa kura yako lissu?
 
Huu utetezi wa kijinga wa kulipana fadhila uko huko ccm. Bakini nao huko huko ccm. Subiri siku Mbowe apigwe risasi kama Lisu hajapambania uhai wake. Lakini kwa sasa muda wa Mbowe madarakani umefikia tamati. chawa kama hutaji jinyonge.
Jinyonge wewe unayemuunga mkono mtu asiyeweza kuongoza hata familia yake
 
Shukrani ya Punda?
Ila maisha yako hivyo. Kua utayaona au umeshayaona au hata kusimuliwa
Kumbuka...
Hate the game and not the players...
 
Huu mfano wa kijinga sana mkila pesa za mbowe mnajitoa fahamu zote, mbowe alifanya wajibu wake si hisani na sasa ni uchaguzi Ulitaka Lisu aache kusema mapungufu ya mbowe kisa wewe unakula pesa za mbowe ?
Wajibu wake kivipi? Vipi kama angeamua kukaa kimya ili lissu atibiwe palepale Dodoma? Je asingekuwa ametimiza wajibu? Lissu si alikuwa ni mbunge ? Si alikuwa na Bima? Si angeacha apelekwe popote pale? Je angekuwa amevunja sheria gani?
 
Mimi sikupendi wewe CCM, ila kwa hli tuko pamoja! Erythrocyte .... Huyu Lisu anakosa shukrani. Usinglitegemea angelimbagaza Mbowe to that extent! Kumbe wacha kumuhurumia mtu, likimpata acha afe tu
 
CCM si mlisema mbowe kakaa sana madarakani mbona lissu kugombea mnaweweseka?! Tulieni hapo hapo sindano iwaingie
 
Mbowe kakodisha chawa walau wewe unajua uandishi
 
Umeandika ujinga mtupu, mbona lissu alimpambania mbowe kutoka gerezani? Kwa hiyo hakutakiwa kugombea uwenyekiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…