CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Na wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana.Lissu ni mjinga wa kiwango cha kutisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana.Lissu ni mjinga wa kiwango cha kutisha.
Wewe ni shoga.Na wewe ni mpumbavu wa kiwango
Njaa imekutoa kabisa akili.Msaada ninaohitaji njoo ulale kwangu usiku huu chukua Bolt nakutumia location naona umedhamiria kunipa boxing day present usiku huu.
Acha wenye akili kichwani wajadili hojaNa wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana.
Nilishafanya kazi na ndugu mmoja wa TAL, nikamsaidia mpaka makazi, baadae akaenda kwa boss kupeleka majungu nifukuzwe kaziShukrani ya Mnyatur...wa singida ni mateke!
Hiyo ndege ilitafutwa na hao watanzania? Lissu wakati hajitambui na yuko mahututi ndiye aliyesema atafutiwe ndege ya kwenda Nairobi Kenya? Hao watanzania ndio walikuwa na lissu Nairobi kusimamia matibabu yake hatua kwa hatua?Embu acha ujinga wako hapa wewe
Binadamu hana shukuraniNilishafanya kazi na ndugu mmoja wa TAL, nikamsaidia mpaka makazi, baadae akaenda kwa boss kupeleka majungu nifukuzwe kazi
Stupid fishNdugu zangu Watanzania,
Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.
Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.
Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.
Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.
Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.
Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.
watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.
Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?
Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.
Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.
Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbowe hakuwa akitoa hisani ilikuwa wajibu wake usitake kufananisha wajibu na vitu vinginevyo huu ni uchaguzi Lisu ana haki kikatibaKwa hakika ni bora Umfadhili mbuzi kuliko Mwanadamu.
Chawa wanaomtetea mbowe wanashangaza sana tuendelee kuwakumbusha kuwa huu ni uchaguzi mifano yao haiendani na uchaguziSi ushasema unamchukia? Nini kipya Utaleta kama una chuki? Kwa hiyo mtu akipambania uhai wako basi unakua chawa wake na kuondoa akili yako kabisa akuswage km kondoo? Kila mtu alitimiza wajibu wake na huu pia ni wajibu mwingine hauna uhusiano na mlivyofeli kumuua
Wajinga pekee ndiyo watamchagua Mbowe licha ya nyie chawa kutumia pesa nyingi kuununua Uenyekiti ili Mbowe kuficha madudu ikiwemo ufisadiHakuna Mwenye akili Timamu anayeweza kubali kuona akatoa kura yake ya ndio kwa lissu na kumuacha Mbowe.
Wajibu wako na kufadhili ni vitu tofauti usije na mifano ambayo haiendani, mkila pesa za mbowe msijitoe fahamu bakiza na akilia kidogoKwa mtu anaitwa mwanadamu mm siwezi kushangaa we ndounalijua leo...kila siku unaimbiwa bora umfadhili Mbuzi walau utapata hata chuzi kuliko mwanadamu utaambulia manundu...hilo lisikupe shida LISU KWANZA wema tutajadili baadaye.
Mbowe chama hakimhitaji kwani kafuja pesa zake nyingi na uchungu wa mbowe na kulinda madudu yake ya ufisadi ndiyo maana anatumia pesa nyingi kuwapa nyinyi chawa mkeshe mitandaoni kumsafishaMbowe yupo na ataendelea kuwepo katika Uenyekiti maana chama kinamhitaji Mbowe mwenye uchungu nacho.