Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #141
Anasapotiwa na wasiojitambuaHata asipoupata ana support yetu wataka mabadiliko. Huyo mnayempamba kafikia ukiongoni taka asitake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasapotiwa na wasiojitambuaHata asipoupata ana support yetu wataka mabadiliko. Huyo mnayempamba kafikia ukiongoni taka asitake.
wewe utakuwa kilaza au chawa, maana hao ndio aina ya watu walio mzunguka Mbowe.Narudia kusema kuwa CHADEMA inahitaji mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua kuendelea kuiongoza.hivyo ni Mbowe ndiye atakayeendelea kuiongoza CHADEMA
Foolish Again,tokea lini CCM ikaitakia mema CHADEMA?Narudia kusema kuwa CHADEMA inahitaji mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua kuendelea kuiongoza.hivyo ni Mbowe ndiye atakayeendelea kuiongoza CHADEMA
HahahaMBowe angekufanyia hivyo wewe bila shaka ungejitoa kwake akuoe kabisa bure tu.😁
Lucas juzi alikuwa nyumbani kwa Mbowe kwenye ile tafrija ya chawa wa Mbowe kalewa hadi akazima sijui kama hakuliwa kiboga.MBowe angekufanyia hivyo wewe bila shaka ungejitoa kwake akuoe kabisa bure tu.😁
Mbowe ni division 0 Darasani hata chawa wake ni wale vilaza wajinga wajingawewe utakuwa kilaza au chawa, maana hao ndio aina ya watu walio mzunguka Mbowe.
Lisu hataki machawa.
Hivi ccm kutetea viongozi wa chadema imeanza lini?Ndugu zangu Watanzania,
Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.
Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.
Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.
Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.
Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.
Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.
watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.
Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?
Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.
Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.
Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ujinga ni kula pesa za mbowe na kumdanganya kuwa anakubalika wakati wanajua ni mwizi wa pesa za chama na DiktetaEndelea kujidanganya na ujinga wako
.
Acha ujinga dogoLucas juzi alikuwa nyumbani kwa Mbowe kwenye ile tafrija ya chawa wa Mbowe kalewa hadi akazima sijui kama hakuliwa kiboga.
Ushawahi kukataliwa kimapenzi!? ulikuwa hufai kuwa nae kwenye mapenzi lakini sio hufai kabisa apana! ila haukukizi vigezo kuwa kwenye ile nafasi! hivyo hivyo Kwa mbowe ni mwema na mzuri kiutu lakini kwenye maendeleo ya chama huenda ikawa hatoshi! Kwa kusema hatoshi haimaanishi hafai tuelewane ivo msiendeshwe na mihemko yenu hili jambo halihitaji ushabiki tunataka mtu wa kutuvusha hapa tulipoNdugu zangu Watanzania,
Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.
Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.
Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.
Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.
Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.
Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.
watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.
Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?
Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.
Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.
Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lissu ni mnafiki tu.Mtu uliyemfanyia wema sio vizuri umkandamize kisiasa eti kwa kuwa ulimsaidia. Lissu ana haki ya kuhoji.
Kwani hujamsikia mwenyekiti wa Chadema wa Shinyanga?Kwahiyo chama kilipomteua Lisu kugombea uraisi alikuwa hana akili timamu!?
Yaani wamwamini nafas ya urais halafu asifae kwenye uenyekiti wa chama!
Hivi unaakili sawasawa kweli wewe Nyerere?
Mbowe ndiyo mnafiki mkubwa katekeleza wajibu wake eti kawatuma chawa mje na masimango, ebu kuweni na Akili kidogo hiki ni kipindi cha uchaguzi kila mgombea ana haki ya kuanika mapungufu ya chama ili akipewa dhamani aweke kila kitu sanaLissu ni mnafiki tu.
Hapa mtu kuelewa kilichoandikwa inabidi awe na A tatu.Baada ya kukamilisha njama za kumdhuru. ili kuuwahadaa wanachama ilibidi ajifanye kuwa kampambania.
Zito alipewa sumu, wangwe aliuawa , heche anaugua na sasa Lisu anaishi kwa wasiwasi kila anayewania Uenyekiti huwa Adui wa mbowe na kile kikundi chake wanufaika wa ufisadi na Udikiteta wa mbowealiyetaka kuuondoa uhai huo ni nani? sio mboe huyohuyo?