Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shida ya mbowe ni mjinga sana na chawa wake wamejua hilo sasa wanamjaza Ujinga ili wale pesa zake kiulaini, Lisu anashukuru chawa kula pesa za mbowe kwani mbowe huwa ni mchoyo kwenye pesa za chama, sasa angalau chawa wanamlia pesa hizo kidogo na yeye ainje machungu ya ufisadi wake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.

Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.

Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.

Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.

Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.

Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.

watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.

Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?

Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.

Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.

Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lisu mnamuona ana akili timamu, au mnamsingizia tu mambo sio yake. Huyu tauari dishi lishayumba kitambo, tunasumbuliwa na chizi mmoja asie na shukurani. Lisu anamtukana hata rais wetu ila ndo alomfuata alikokua amekimbilia rais akajishusha na kumrudisha nyumbani bila masharit yoyote ila bado anamyea bila huruma
 
Mbowe kaiba pesa nyingi za chama alikuwa mchoyo na ubinafsi mwingi sasa chawa wake kuleni pesa za mbowe ni mda wenu kula pesa za mtu mchoyo mungu hujua kujibu Dhuluma kwani mbowe kawadhulu wenzake wee lakini sasa chawa wanakula pesa yake bila kupenda
 
Lisu mnamuona ana akili timamu, au mnamsingizia tu mambo sio yake. Huyu tauari dishi lishayumba kitambo, tunasumbuliwa na chizi mmoja asie na shukurani. Lisu anamtukana hata rais wetu ila ndo alomfuata alikokua amekimbilia rais akajishusha na kumrudisha nyumbani bila masharit yoyote ila bado anamyea bila huruma
Wewe ndiyo huna Akili Timamu hujui hata maana ya upinzani hujui hata maana ya haki za kikatiba, yaani haki za Lisu ni fadhila? ni sawa na kuishukuru ATM kwa kutoa pesa zako, Maana ya Upinzani ni kuikosoa Serikali siyo kuwa chawa kama wewe umekula pesa ya mbowe na kujitoa fahamu zote ukazani una Akili timamu kumbe huna
 
Eti wewe nae ni mshauri wa mbowe? Kwa kweli Mbowe kafeli idara ya washauri wake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.

Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.

Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.

Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.

Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.

Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.

watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.

Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?

Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.

Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.

Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kitengo Cha propaganda lumumba mmechoka sana

Yaani mnatupia takataka Kila bandiko

Ule ni uchaguzi siyo vita
 
Wewe lini umewahi kuwa na akili? Sifa kubwa ya kuwa chawa ni kujitoa akili. Mpumbavu mkubwa wewe unadandia dandia wanaume kama changudoa sasa umeweka kambi kwa Mbowe unafikiri ndiyo atakutoa kimaisha? Utakufa masikini kwa ujinga wako.
Hili toto jinga jinga aisee
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.

Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.

Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.

Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.

Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.

Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.

watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.

Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?

Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.

Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.

Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii siyo justification ya yeye kutawala maisha. Ulikuwa wajibu wake kufanya vile mana analipwa mshahara kwa ajiri hiyo.
 
Shida ya mbowe ni mjinga sana na chawa wake wamejua hilo sasa wanamjaza Ujinga ili wale pesa zake kiulaini, Lisu anashukuru chawa kula pesa za mbowe kwani mbowe huwa ni mchoyo kwenye pesa za chama, sasa angalau chawa wanamlia pesa hizo kidogo na yeye ainje machungu ya ufisadi wake
Acha ujinga wako hapa wewe
 
Tukimalizana na mbowe tutataka na uchaguzi wa mgombea wa uraisi wa CCM uwe wa kidemokrasia watu waruhusiwe kugombea na mama kwenye box la kura.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui wakubwa sana.

Watu wengi sana wameingia matatizoni na kupata majuto mazito kutoka kwa watu waliowasaidia.watu wengi sana wameumizwa na wema wao .Wapo watu leo wanabubujikwa na machozi yasiyokata usiku na mchana kwa sababu ya majeraha na vidonda visivyopona vilivyo sababishwa na watu waliowasaidia na kujitoa na kujitolea kwao.

Mwamba wa kaskazini na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe leo anapakwa matope, kuchafuliwa, kuzushiwa uongo, kusemwa vibaya kusingiziwa kila aina ya uongo, kutukanwa, kubezwa kudharauliwa na hata kutupiwa kila aina ya shutuma kutoka kwa watu aliowakuza, kuwalea na kuwasaida kwa jasho na Damu.

Leo anaumizwa,kuzushiwa uongo na kuchafuliwa na watu walio ndani ya CHADEMA au ambao wapo nje ya CHADEMA lakini walipita mikononi mwake na yeye ndiye akawasaidia mpaka kupata Uongozi kama vile Ubunge japo walikuwa Makapuku na choka Mbaya na wasiofahamika kabisa kwa watanzania lakini Leo ndio wamegeuka kuwa maadui zake wenye kuongoza mashambulizi ya kumchafua, kumpaka matope na kumzushia kila aina ya uchafu.

Ni haohao aliowabeba na kuwasaida na kuwatambulisha mbele ya macho ya watanzania licha ya Umasikini wao, kuchoka kwao kimwili na kupoteza nuru hata ya macho kutokana na njaa zao lakini Leo ndio wapo mstari wa mbele kumrushia mishale ya kila aina kutaka kumuangamiza.

Kwa hakika inaumiza sana kibinadamu,inatia sana hasira, inaleta uchungu na kusononesha sana na kwa hakika kwa mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua kamwe na katu huwezi hata kidogo kuwaamini watu wa aina hiyo wanaomshambulia Mbowe kwa sasa wakati unajua kuwa wamefika hapo walipofika na kutambulika hapa Nchini kupitia Mabega na mikono na Msaada wa Mbowe mwenyewe.

watu hao hawapaswi kuaminika wala kuwaamini popote pale wala kuwakaribisha chumbani kwako au hata kuwaonyesha funguo za nyumba yako zinapokaa. Haupaswi hata kuwaacha watoto wako kwao maana ipo siku utakuta wamefanyiwa ukatili na unyama usiomithirika.

Kama wewe mwenye akili Timamu unatambua mchango wa Mbowe kuwasaidia watu hao lakini Leo ndio wanamchafua Mbowe.je wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa huwezi kusalitiwa na kuja kutukanwa na watu hao? Wewe ni nani mpaka ufikirie kuwa hao watu au huyo mtu hawezi kuja kukugeuka na kukusaliti?

Mbowe ndiye mtu aliyepambana kwa jasho na Damu kupambania uhai wa Lissu.ndiye aliyefanya juhudi zote kuhakikisha Lissu anapata ndege ya dharura itakayo msafirisha Lissu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Mbowe ndiye aliyeweka kambi Nairobi Kenya kusimamia matibabu ya lissu lakini leo Mbowe analipwa kwa mabaya, leo anaonekana hafai,leo anaonekana ni mtu wa hatari ,leo anaonekana hafai kwa lolote lile .Leo Mbowe anaambulia kejeli,dharau,matusi ,kuchafuliwa na kupakwa Matope ya kila aina.

Leo maadui zake wakubwa ni wale aliowasaidia na kuwapigania.

Kwa hakika ni bora Mfadhili Mbuzi tuuu kuliko Mwanadamu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naomba connection ya kuwa Chawa ilii niwee chawa maarufu JF kama wewe ndugu yangu Lucas mwashabwaa nipo tayarii kujitoa akiliii kama wewe.nakuahidii nitafanyaa hii kazi ya uchawaa kwa uweledii mkubwaa saana na nitahakikisha nailindaa hii taasisi ya uchawaa kwa wivu mkubwaa mno.Nitumaini ombi langu utalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom