johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa vile Tanzania ndiyo mara ya kwanza kutawaliwa na dikiteita akinunua wapinzani kuua upinzani.... simple!Kwanini ni Chadema tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.
Hebu fukiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa Chadema walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa...
Mbowe anaizika CHADEMA huku makamanda mkiangalia!Kwa vile Tanzania ndiyo mara ya kwanza kutawaliwa na dikiteita akinunua wapinzani kuua upinzani.... simple!
Kwanini ni Chadema tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM....
Mbowe anaizika Chadema huku makamanda mkiangalia!
Kikao cha kamati kuu kinaongozwa na nani bwashee?!CCM mko desperate sana, sidhani kama jana usiku mlipata usingizi.
Huyo ndio chanzo cha anguko kubwa la chama. Yeye ndie aliempokea Lowasa huku akijua fika kwamb Lowasa hawezi kushinda uchaguzi kupitia tume ambayo kila siku wanailalamikia kuwa ipo kwa ajili ya kuipa ushindi CCM huku akiwaacha wakonge na wazalendo wa kweli waliokipigania chama kwa jasho na damu, alichoangalia yeye ni tumbo lake kwanza.Kwanini ni Chadema tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM....
Kaa kwa kutulia tunafukuza kenge zije kuwaongoza huko CCM maana mnaupungufu mkubwa sana wa viongozi.Kikao cha kamati kuu kinaongozwa na nani bwashee?!
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!Kaa kwa kutulia tunafukuza kenge zije kuwaongoza huko CCM maana mnaupungufu mkubwa sana wa viongozi.
Soon mtajua hamjuiChadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
Mnaenda kuungana na Dovutwa kiitifaki!Soon mtajua hamjui
Nyie CCM ni chama tawala ila ndiyo mnaongoza kulia-lia kama mmefiwa na sponsor 🤣🤣🤣Mnaenda kuungana na Dovutwa kiitifaki!
Kwani huelewi kuwa ukitaka kupata Ubunge kwa urahisi unakimbilia CCM ? Kwani hujui waliobaki kugombea kupitia chadema wamefanyiwa nini ? Muulize Halima Mdee anafahamu vizuriKwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.
Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.
Hapo CHADEMA kuna biashara gani.
Morrison funga hao Nigeria.
Maendeleo hayana vyama!
Haaa haaa just haaa haaa.!Mwamba Mbowe tuvushe mwamba.
uwepo wa Mbowe kwenye chama kikuu cha upinzani kama mwenyekiti na mmiliki wa chama,imekuwa nafuu kubwa kwa CCM.
angekuwa mtu mwengine makini na mwenye weredi mkubwa hakika CCM ingepata tabu sana.ila kwa Mbowe mambo yataendelea kuwa mepesi sana kwa CCM.
Hayo ni maoni yako, una haaki kama raia kutoa mawazo yako ila siwezi kuchangia Uzi wa mjinga mmoja kutoka CCM.Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.
Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.
Hapo CHADEMA kuna biashara gani.
Morrison funga hao Nigeria.
Maendeleo hayana vyama!
NI KWASABABU KIPINDI CHA MBOWE NDIO CHADEMA ILIPATA WABUNGE WENGI ZAIDI IKIWEMO MAMLUKI WA CCM.Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.
Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.
Hapo CHADEMA kuna biashara gani.
Morrison funga hao Nigeria.
Maendeleo hayana vyama!
Walinunuliwa na MATAGA.Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.
Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.
Hapo CHADEMA kuna biashara gani.
Morrison funga hao Nigeria.
Maendeleo hayana vyama!