Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.

Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.

Hapo CHADEMA kuna biashara gani.

Morrison funga hao Nigeria.

Maendeleo hayana vyama!

Umegeuza swali. Jiulize kwa nini CCM inahaha kuwanunua wabunge wa CHADEMA na kuwapa vyeo serikalini? Hatusikii wabunge wa UDP, TLP, CUF, NCCR, wakitafutwa kiasi hicho. Mbunge wa CHADEMA anaonekana mali kuliko hata makada wa CCM. Leo hii wamewakumbatia BAWACHA kinoma. Jibu liko hapo. Na mchezo utaendelea.
 
Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.

Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.

Hapo CHADEMA kuna biashara gani.

Morrison funga hao Nigeria.

Maendeleo hayana vyama!
So, what?

Mbowe ndiye Kiongozi pekee wa Upinzania ambaye ana -wabunge wengi tangu upinzani uanze 1995.
 
Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.

Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.

Hapo CHADEMA kuna biashara gani.

Morrison funga hao Nigeria.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu ,nje ya siasa mbowe ndo kiongozi na jabali la siasa tz,hachana na mwamba huyu,ipo siku mungu atamuita,ila amini vizazi vijavyo Kama sio kwa Sasa watamjengea sanam
Jiulize vipi Kama tz tungekua na katiba huru kwamba uchaguzi mpya UMEISHA na alieshinda kwa haki katangazwa,then bila kujali chama chochote kwenye kuunda serikali vinachambuliwa vichwa, na kuunda serikali,mbona rais angekua anapumzika Sana, na nchi kwa mda mfupi ingepiga hatua Sana, basi
 
Hili MATAGA hawajui, Mbowe ni sawa na CCM wote na maprofessa wote wa jalalani.
 
Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.

Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.

Hapo CHADEMA kuna biashara gani.

Morrison funga hao Nigeria.

Maendeleo hayana vyama!
Siyo kwamba hapo CDM ni VETA ya politician.kwamba wanaivia huko wanaendankuliwa CCM
 
Back
Top Bottom