#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Sasa Mbowe imekuaje kashindwa kumshauri ndugu yake nae kudungwa chanjo au alikuwa mbishi kama yule Mwendazake mwenzie?
 
Samia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake

Yaani unakusanya watu morogoro na kuwaambia wasikusanyike?

Kama ni ujinga basi huu ni ujinga kiwango cha PhD
Na bado ratiba ya Mwenge inaendelea
 
Siku Corona ikimuua bwana ako, tutamuambia MUSIBA atangaze,

Dikteta aliipuuza Corona ikamuua
 
Ndio maana tunaitaka latina mpya tuondoke kwenye ujinga ujinga wa matumizi mabaya ya mamlaka, huenda hata adui ujinga akaondoka miongoni mwa watanzania walio wengi, wasioijua hata haki yao ya msingi na kuwaabudu watumiao vibaya mamlaka waliyonayo.
 
Mke wa Marehemu why unalalamika kwa jambo ambalo ungekaa na shemejiyo mkaliongea likaisha?

 
Jibu: Ni mdogo wake na marehemu. Kwetu Africa ndungu hutangaza kitu kilichomuua mpendwa wao. Hiyo hadithi ya kuangushwa na konyagi ilitungwa na akina bajaji bungeni na kuungwa mkono na polisi-ccm.
 

Madalali wa shetani lazima wakereke na habari hii.

Hii ni roho nyingine inapotea ambapo serikali haiwezi kujivua lawama.

Kutolewa kwa takwimu sahihi kutasaidia kuepusha vifo kama hivi.
 
Wewe ni mtu mjinga sana hata kwa maandiko na mawazo yako unaonekana waziwazi. Hivi Mbowe angetangaza kwamba kaka yake amekufa kwa malaria ungeandika upuuzi huu? Unataka watu wafiche korona?! Akili yako mbovu inakufanya ufikiri kama jpm kwamba korona ugonjwa usiotakiwa kujulikana, mwisho wa siku hiyo hiyo corona ilimtoa jpm na wewe pia utafuata usipokuwa makini na muwazi na ugonjwa huu.
 
Mbowe ni kaka wa Marehemu aliyefariki kwa Corona.

Nyie mataga pori mmezoeya kuvutwa masikio na mwendazake akili zenu hazichaji mpaka mgongwe makonzi ya utosi.
 
Aliyeleta hizo amri za kijinga kwamba kifo cha Corona kitangazwe na hao watu aliishajifia kitambo na amri zake, wewe inaonekana bado una muota unatakiwa sasa ukalinde kaburi.
 
Nani alinyimwa kutangaza ugonjwa wa ndugu yake?

Ujinga mwingine baki nao kichwani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…