mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Alitangaza yeye kwamba amepata chanjo na hakuna aliposema na kaka yake pia alipata chanjo. Tusichanganye mafailiKama alipimwa, ikathibitika hivyo, hata wewe utasema, na ninataka tuwe wawazi na wakweli zaidi juu ya hili.
Jambo lingine la kujiuliza kwa mh Mbowe, kwamba, yeye alitangaza kuwa amechanjwa chanjo ya Corona. Je, kaka yake, kuchanjwa?
Nachotamani pia, atokee shujaa atakaye sema kuwa, hata wenye chanjo wanaambukizwa tena na wanakufa, ili baada ya hapo, Sua wafanye kazi ya ziada ili tusiwategemee wazungu peke yao
Akitangaza wewe inakuhusu nn mpaka kupiga makelele kwenye mitandao! Kama hayakuhusu unapiga kimya tu!!sisi yanatuhusu nini sasa.hayuhusu na sisi tuna ya kwetu mbona hatuyatangazi humu ndani.
Lakini mbowe amechanjwaKwani yeye anazo chanjo za kuchanja watu?
Hujui serikali haitaki chanjo kuingizwa nchini?
Serikali haiwezi kukwepa lawama kwa vifo vyote hivi tokea enzi za michai chai, nyungu, malimao na upuuzi wote wa awamu ile.
Hapa umeongea Mtu wa Pwani.Mbowe ni mfano wa kuigwa.
Kwa mara nyingine amekuwa mfano wa kuigwa.
A dedicated selfless individual.
🚮🚮Kumbe ni vilaza hamuwezi hata kulinda kura zenu?
MkuuNimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari
Je, Mbowe ni nani kati ya hao?
Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.
View attachment 1846603
Sheria ya nchi gani hiyo ambayo inazuia hata familia kuongelea ugonjwa uliomwua ndugu Yao. Wee subiri siku ikitokea kwenu usitangaze. Kama hospitali waamethibitisha Hilo kuna Shida gani familia kuelezana. Mwisho tutaanza kupangiana hata ni siku ngapi tulale na wake zetu.Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari
Je, Mbowe ni nani kati ya hao?
Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.
View attachment 1846603
Kama amekufq kwa ukimwi ,malaria je?Sheria ya nchi gani hiyo ambayo inazuia hata familia kuongelea ugonjwa uliomwua ndugu Yao. Wee subiri siku ikitokea kwenu usitangaze. Kama hospitali waamethibitisha Hilo kuna Shida gani familia kuelezana. Mwisho tutaanza kupangiana hata ni siku ngapi tulale na wake zetu.
Hivi hizi siasa za kipumbavu watanzania zinatusaidia nini?
Sijakuelewa, kwani aliyekufa Kwa malaria au ukimwi wasifu wake huwa hausomwiKama amekufq kwa ukimwi ,malaria je?
Mbona kuna ndugu zake waliokufa kwa magonjwa mengine lakini hakutangaza?Sheria ya nchi gani hiyo ambayo inazuia hata familia kuongelea ugonjwa uliomwua ndugu Yao. Wee subiri siku ikitokea kwenu usitangaze. Kama hospitali waamethibitisha Hilo kuna Shida gani familia kuelezana. Mwisho tutaanza kupangiana hata ni siku ngapi tulale na wake zetu.
Hivi hizi siasa za kipumbavu watanzania zinatusaidia nini?
Uzi wenyewe unamuhusu Mbowe halafu wewe unashangaa mimi kumtaja Mbowe? Mbowe ni binaadamu tu kama mimi na wewe sasa sijui unaona shida gani akitajwa au mwenzetu Mbowe ni zaidi ya binaadamu kwako?Wewe shida yako ulitaje tu hilo jina la Mbowe.
Ungekuwa mwanasiasa ndio ungeona U special wa kutumia hicho kifo kisiasa.Kwani kaka yake au kaka yangu akifa kwa corona ndio nini? What is sospecial??