Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.

Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako kuilinda CCM dhidi ya genuine Upinzani na ndiyo maana unaona yoyote atakayeikosoa Serikali vijana wa Mboww na Tundu lisu watamjia juu.

Wachaga siku zote huuzwa na Viongozi wao, walianza akina Mareale, …
 
JITOKEZE WEWE KUWA MPINZANI BASI
 
Duh...!. CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
P
 
Huu ndio uzuri wa JF, tunajibishana na wote wa akili za daasa 7, vilaza, vipanga, vichwa,, ma GT, hadi madebe matupu, wote tunajichanganya as one JF family, hili bandiko CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind? sio size yako kabisa, nakushauri lipitie mbali, kisha nenda yale mabandiko ya saizi yako!.
P
 
wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio huko ccm unafikir mbowe anamuda wa kuhangaika na mapumbavu yanayolalamika mitandaoni yakiambiwa yaandamane yananyea ndoo tena mbowe shikilia hapohapo mpaka wapumbavu wapate akili.
 
Soma ulichoandika tena, umepaniki au siyo?
Ukiondoa hivyo vi degree na Masters zisizokusaidia kitu zaidi ya kukugeuza mbusu makalio ya watawala, wewe ni mweupe sana.
Njaa zitakuua, njaa tupu kama jina lako.
 
Malyenge anacheza kwa step.
Kaona dau limepukutishwa hamna cha KUB wala Ubunge kaamua kurudi kundini.
Kumbuka aliulizwa kwa bashasha "Hivi Mbowe unataka nini"
Hakujibu badala yake akaenda mjengo mweupe kupeleka majibu.
Then kapiga kimya
 
Nilikua naenda kukuelewa lkn kuanzia paragraph ya pili ukapoteza akili ghafla na kuweka mahaba ya uchama!!!
 
Umeamua kuandika upuuzi. Hao wachagga ndio walioanzisha upinzani tangu enzi ya mkoloni na watanzania wakajazwa ujinga kwamba wasiwaunge mkono. Mliwaita wapenda hela leo hii ndio mnagundua hela sio anasa bali ni muhimu kwa maisha na baadaye sana mtagundua upinzani sio chuki ni hitaji la kisiasa popote pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…