Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

Soma ulichoandika tena, umepaniki au siyo?
Ukiondoa hivyo vi degree na Masters zisizokusaidia kitu zaidi ya kukugeuza mbusu makalio ya watawala, wewe ni mweupe sana.
Njaa zitakuua, njaa tupu kama jina lako.
Duh!...!. Kiukweli hawa vilaza wa humu, ukiisha wajua, hawakupi taabu!. Unadhani mtu kuelimika ni mpaka uajiriwe na kuteuliwa kuwa fulani, hivyo vilaza hawa wa humu wanadhani mimi nafukuzia teuzi!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Kama kazi yako ni mvuvi wa samaki, na kila siku unavua samaki 2, mmoja unamuuza na mwingine ni kitoweo, ikatokea umeupenda uvuvi na unaweza kujikimu maisha yako kwa huo huo uvuvi, ukiamua kujiendeleza kielimu hadi kupata Ph.D, ukaendelea na uvuvi, usimkashifu mtu kama huyo kuendelea na uvuvi huku ana Ph.D kuwa usomi haujamsaidia kitu kwasababu tuu ni mvuvi!, kwasababu sio kila anayejiendeleza kielimu ni anajiendeleza ili aajiriwe!, wengine anajiendeleza kielimu just kuelimika na sio kusaka ajira au uteuzi!.

Mimi ni mtangazaji na always ni mtangazaji, no matter nimesomea nini kingine na nimehitimu elimu ngapi za makaratasi, naendelea na ile ile kazi yangu ya uvuvi wa samaki na naomba nikujulishe sijawahi kuomba kazi popote zaidi ya ile ya kutaka kuwatumikia wananchi na kuitumikia nchi yangu nikakataliwa na yale majinga fulani! ule ujinga fulani!, lakini sitafuti ajira yoyote popote na kwa yeyote!, na wala sisaki uteuzi wowote kuwa yoyote kwa yeyote!.

Ubarikiwe sana!.
P
 
Mtoto wa kuku ni kifaranga, je Mtoto wa. Nyoka anaitwaje?
Sio lazima kila mwana wa nyoka ni nyoka, kuna mambo ya genetics na mutations, sio kila mwana wa nyoka ni nyoka, sometimes nyoka ana mutatate kwa kufanya mutations na kuangua mjusi, ila mjusi huyo anakuwa na straits za unyoka. Moja ya sifa kubwa za nyoka ni uwezo wa kupenya popote!, hivyo mjusi mwenye straits za nyoka ni mzuri kwa kupenya, laiti wale manyoka, wangemsikiliza yule mjusi, labda wangeweza hata kumuokoa yule Baba yao ile siku walipoelezwa haya na haya na haya, kiukweli yale manyoka ni manyoka majinga ajabu, yameelezwa jambo la maana sana na mjusi wakalipuuzia, matokeo yake naamini unayajua!.

Sasa tuko kwenye safari kuelekea 2025, manyoka wanaongoza kikundi cha nyimbo, kwaya, bendi na sasa kazi ni moja tuu, ni mwendo wa kusifu, na mapambio kuwa 2025 ni Mama! Mama! Mama!, mjusi kama kawaida yake ametoa angalizo la 2025, sasa anasubiria muda ufike kama watampuuza tena kwa vile ni mjusi!.

Inaendelea...

P
 
Mkuu,mleta mada!

Kama jamaa amepigania jambo akahakikishiwa kuwa tayari lipo kwenye mchakato je ataendelea na uanaharakati au atasubiri utekelezwaji wake!!?


Mimi ninavyo mwelewe Mbowe ,ni mtu wa state anaisimamia SERIKALI isiharibu Sana tangu enzi za vyama vingi kuanza!

Jamaa yupio well informed na movement zake ni calculated Sana!

Mission ya Mbowe na CHADEMA imeshakamilika ilikuwa sio kushika DOLA bali kuisimamia Serikali na kupata katiba mpya ndicho kinaenda KUTOKEA Baada ya hapo mwelekeo mpya wa siasa zetu NCHINI!!

Hakuna haja ya maandamano kama hitaji la maandamano limeshapatikana bila maandamano!!

KWANINI kuchonganisha Serikali na WANANCHI waO!!?

Mawazo HURU Haya!
 
Ukome kabisa wewe na family yenu Ndio mnaouza mpaka leo hii! Mareale hakujiuza bali aliyaona Nyerere ambayo amefanya!
Mambo ya ujamaa na kutaifisha mali za watu.
Sasa wewe mpumbafu goigoi unaleta mambo ya ukabila kwenye siasa, mjinga wewe kwani lissu ni mchaga?
Such idiotic mind set walahi [emoji35]
 
Kijijini kwenu huwa mnaambiana mtu aliyeishia darasa la saba kwamba hana akili?😂😂😂😂
Kuna tofauti za mtu wa akili za daasa saba na mtu aliyeishia darasa la 7, au hata mtu ambaye hakusoma kabisa!.

Kuna watu wameishia darasa la 7, lakini wana akili za Ph.D kama Msukuma na Kibajaji Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!. na kuna watu ni Ph.D holders lakini wana akili ya daasa saba!.
Ukiisha wajua watu hawa humu, hawakupi taabu!.
P
 
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.

Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako kuilinda CCM dhidi ya genuine Upinzani na ndiyo maana unaona yoyote atakayeikosoa Serikali vijana wa Mboww na Tundu lisu watamjia juu.

Wachaga siku zote huuzwa na Viongozi wao, walianza akina Mareale, …
Ukweli makini,hao rushia furushi la mafaranga umemaliza
 
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.

Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako kuilinda CCM dhidi ya genuine Upinzani na ndiyo maana unaona yoyote atakayeikosoa Serikali vijana wa Mboww na Tundu lisu watamjia juu.

Wachaga siku zote huuzwa na Viongozi wao, walianza akina Mareale, …

ulisoma IT ya muembeni kabisa alafu ukachanganya ujinga wa kahawa za vijiwani. waliokutuma ccm wanakuharibu usije kujikuta ukawa group la sufiani juma
 
Wachaga wote ni wazee wa fursa , kwenye maslahi hata wao Kwa wao hugeukana

Sio kweli uwivu wako kwa wachaga ndio unakuleteeni umaskini kwenye family zenu mnazo uza ngombe kutetea kesi ya kuku totally poverty mind!
Mtaishia hivyo hivyo na umaskini wenu wa kufuta mavi kwa wahindi mpaka mfe walahi nakuapia! Uwivu wenu umewaponza wana wa laana walahi [emoji2959]
 
Mwenyekiti wa kinachojiita chama kikuu cha upinzani anakiri wazi kabisa kulipiwa safari na serikali wanachama wafuasi na wananchi wanabakia kukenua tu meno.

Ni watu wachache sana wanajali principles.
 
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.

Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako kuilinda CCM dhidi ya genuine Upinzani na ndiyo maana unaona yoyote atakayeikosoa Serikali vijana wa Mboww na Tundu lisu watamjia juu.

Wachaga siku zote huuzwa na Viongozi wao, walianza akina Mareale, …
Amekuzuoa kuwa Mpinzani? Unawaza kwa kutumia utumbo mpana? Kwa hio Mbowe kazaliwa kuja kuku semea wewe mwanamke
 
Umeambiwa ili upewe uDC ni uhakikishe unamchafua Mbowe na Lissu kwa kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa hao ni virus?
CHADEMA huwa haingalii sura, Mbowe akiwa kirusi au Lissu wataondoka asubuhi na mapema.
Lakini kwa sasa hao ni viongozi wa CHADEMA na tunatuata dira wanayoitoa, mengine mtajuana huko CCM.
Hawa ndio wali zaliwa kuja kusifia wanaume wenzao, hakuna kitu kibaya unshinda kusifia mwanaume mwenye makende sawa na wewe na ndio kazi huyo anayo ifanya
 
Huu ndio uzuri wa JF, tunajibishana na wote wa akili za daasa 7, vilaza, vipanga, vichwa,, ma GT, hadi madebe matupu, wote tunajichanganya as one JF family, hili bandiko CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind? sio size yako kabisa, nakushauri lipitie mbali, kisha nenda yale mabandiko ya saizi yako!.
P
P unaposema sio saizi yake una maana gani? Huoni kwamba una namna unaona kama wewe ndio mmiliki wa maarifa pekee yako? Kipimo cha aliye saizi wa uzi wako na asiye anakifanya nani?
 
Angekuwa zitto ndiye kasema kalipiwa safari ya nje na serikali, Wallah angeshambuliwa kila kona.
Kweli the dunia is not fair
Mbowe kalipiwa safari na nani? Nionyeshe video akisema hayo. Kwenye interview video hakuna hilo suala sijui mnazusha kwa Nini.
 
Back
Top Bottom