Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Bado kidogo unalogwa!😂😂😂😂Kuna tofauti za mtu wa akili za daasa saba na mtu aliyeishia darasa la 7, au hata mtu ambaye hakusoma kabisa!.
Kuna watu wameishia darasa la 7, lakini wana akili za Ph.D kama Msukuma na Kibajaji Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!. na kuna watu ni Ph.D holders lakini wana akili ya daasa saba!.
Ukiisha wajua watu hawa humu, hawakupi taabu!.
P
Mlimuita gaidi mara sahivi mtu wa state.Mkuu,mleta mada!
Kama jamaa amepigania jambo akahakikishiwa kuwa tayari lipo kwenye mchakato je ataendelea na uanaharakati au atasubiri utekelezwaji wake!!?
Mimi ninavyo mwelewe Mbowe ,ni mtu wa state anaisimamia SERIKALI isiharibu Sana tangu enzi za vyama vingi kuanza!
Jamaa yupio well informed na movement zake ni calculated Sana!
Mission ya Mbowe na CHADEMA imeshakamilika ilikuwa sio kushika DOLA bali kuisimamia Serikali na kupata katiba mpya ndicho kinaenda KUTOKEA Baada ya hapo mwelekeo mpya wa siasa zetu NCHINI!!
Hakuna haja ya maandamano kama hitaji la maandamano limeshapatikana bila maandamano!!
KWANINI kuchonganisha Serikali na WANANCHI waO!!?
Mawazo HURU Haya!
Kakiri wapi? Acheni uzushi UVCCMMwenyekiti wa kinachojiita chama kikuu cha upinzani anakiri wazi kabisa kulipiwa safari na serikali wanachama wafuasi na wananchi wanabakia kukenua tu meno.
Ni watu wachache sana wanajali principles.
mashoga ya ccm 2025 jiandaen kukimbia mwenye makorido ya lumumba maana serikal yenu fake ya majiz ya kura inaenda kuanguka hizo buku 7 mnazopokea hamtaziona tena.Malyenge anacheza kwa step.
Kaona dau limepukutishwa hamna cha KUB wala Ubunge kaamua kurudi kundini.
Kumbuka aliulizwa kwa bashasha "Hivi Mbowe unataka nini"
Hakujibu badala yake akaenda mjengo mweupe kupeleka majibu.
Then kapiga kimya
tangulia wewe kaandamane. Nyau tu wewe.wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio huko ccm unafikir mbowe anamuda wa kuhangaika na mapumbavu yanayolalamika mitandaoni yakiambiwa yaandamane yananyea ndoo tena mbowe shikilia hapohapo mpaka wapumbavu wapate akili.
hayo mazezeta ya ccm mitandaon yameshachanganyikiwa na ikifika 2025 yataokota makopo kabisa maana ccm imeshakufa na ukitaka kunua imeshakufa muulize katambi juz juz alifanya mkutano hapa shinyanga aliambulia wajinga wachache tena kwa aibu kubwaMlimuita gaidi mara sahivi mtu wa state.
Kipindi anamkosoa JPM mkamuita mtetezi wa mafisadi.
Alipopinga approach ya JPM kwenye COVID 19 mkamuita anatumika na mabeberu.
Mbona hamueleweki, akianza mikutano ya hadhara na kuikaanga CCM msirudi hapa kulialia kuwa ni gaidi.
kwamba kwa akili yako ya kijinga siwez kuandamana ndio unavyofikiria hebu subir mikutano ya hadhara iliyotangazwa na chama ianze ndo mtaelewa na akili zenu za kijinga by the way nenda kampe pole katambi juz juz alifanya kuwa samia day umuulize hio samia day yake alipata watu wangapi saiv anajambajamba huku anatuma watu wamuombee msamaha arudi chadema.tangulia wewe kaandamane. Nyau tu wewe.
Kipimo kinafanywa na aliyeleta mada, na hilo mbona ni rahisi kujua tu kuwa fulani hiki kipimo ni kikubwa kwake baada ya kujibu ambacho wala hakipo.P unaposema sio saizi yake una maana gani? Huoni kwamba una namna unaona kama wewe ndio mmiliki wa maarifa pekee yako? Kipimo cha aliye saizi wa uzi wako na asiye anakifanya nani?
Unataka akikiri akupigie simu au??Kakiri wapi? Acheni uzushi UVCCM
Mwanasheria mzima unapotosha, no wonder serikali haiwezi kushinda kesi kwenye international tribunes/dispute settlements!!
Mambo ya ulozi ni attitude of mind, ukiamini kuna uchawi na kulongwa kupo, ukilogwa, unalogeka!. Kama huamini uchawi upo, hata kama ni kweli uchawi upo, ukilogwa haulogeki!. Mimi siamini uchawi upo, hivyo silogeki!.Bado kidogo unalogwa!😂😂😂😂
NyokaMtoto wa kuku ni kifaranga, je Mtoto wa. Nyoka anaitwaje?
Maneno haya yataendelea kukugharimu kwenye jitihada zako za kusaka uwakilishi kupitia Ccm...sijawahi kuomba kazi popote zaidi ya ile ya kutaka kuwatumikia wananchi na kuitumikia nchi yangu nikakataliwa na yale majinga fulani! ule ujinga fulani!.
Waliokukataa sio wapumbavu ila wewe inatakiwa ujitafakali unakwama wapi?Duh!...!. Kiukweli hawa vilaza wa humu, ukiisha wajua, hawakupi taabu!. Unadhani mtu kuelimika ni mpaka uajiriwe na kuteuliwa kuwa fulani, hivyo vilaza hawa wa humu wanadhani mimi nafukuzia teuzi!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Kama kazi yako ni mvuvi wa samaki, na kila siku unavua samaki 2, mmoja unamuuza na mwingine ni kitoweo, ikatokea umeupenda uvuvi na unaweza kujikimu maisha yako kwa huo huo uvuvi, ukiamua kujiendeleza kielimu hadi kupata Ph.D, ukaendelea na uvuvi, usimkashifu mtu kama huyo kuendelea na uvuvi huku ana Ph.D kuwa usomi haujamsaidia kitu kwasababu tuu ni mvuvi!, kwasababu sio kila anayejiendeleza kielimu ni anajiendeleza ili aajiriwe!, wengine anajiendeleza kielimu just kuelimika na sio kusaka ajira au uteuzi!.
Mimi ni mtangazaji na always ni mtangazaji, no matter nimesomea nini kingine na nimehitimu elimu ngapi za makaratasi, naendelea na ile ile kazi yangu ya uvuvi wa samaki na naomba nikujulishe sijawahi kuomba kazi popote zaidi ya ile ya kutaka kuwatumikia wananchi na kuitumikia nchi yangu nikakataliwa na yale majinga fulani! ule ujinga fulani!, lakini sitafuti ajira yoyote popote na kwa yeyote!, na wala sisaki uteuzi wowote kuwa yoyote kwa yeyote!.
Ubarikiwe sana!.
P
MkuuMlimuita gaidi mara sahivi mtu wa state.
Kipindi anamkosoa JPM mkamuita mtetezi wa mafisadi.
Alipopinga approach ya JPM kwenye COVID 19 mkamuita anatumika na mabeberu.
Mbona hamueleweki, akianza mikutano ya hadhara na kuikaanga CCM msirudi hapa kulialia kuwa ni gaidi.
Kunyamaza nayo ni hekima.Mkuu
Sio lazima move za the state zipate Baraka kwa CCM, WAKATI mwingine the state inakinzana na chama kutokana na aliyeshika HATAMU ana MASLAHI Gani na hoja inayoletwa na the state!
Mfano,hoja ya katiba Mpya ni ya the state ccm hawaitaki coz itaondoa power ya kulamba asali kwa NAMBA MOJA, Hivyo anaetumiwa na state lazima
alipe gharama ya utumishi huo,JAPO atalindwa na Hao waliomtuma!!
Ccm na The state sio wamoja bali ccm imeaminiwa na DOLA kushika hatamu!!!
Hoja ya Mbowe na ugaidiugaidi ilianzishwa na ccm Ili kumdhibiti,sio DOLA!
HIVYO tu
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.
Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako kuilinda CCM dhidi ya genuine Upinzani na ndiyo maana unaona yoyote atakayeikosoa Serikali vijana wa Mboww na Tundu lisu watamjia juu.
Wachaga siku zote huuzwa na Viongozi wao, walianza akina Mareale, …
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.
Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako kuilinda CCM dhidi ya genuine Upinzani na ndiyo maana unaona yoyote atakayeikosoa Serikali vijana wa Mboww na Tundu lisu watamjia juu.
Wachaga siku zote huuzwa na Viongozi wao, walianza akina Mareale, …