Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

tundu lisu ni mchaga heche ni mchaga msigwa ni mchaga acha ukabila acha ubaguzi ndugu
Hawajui kama Chadema ipo liwale MPAKA TARIME kigoma MPAKA karatu dar mpaka tunduru iringa mpaka ukerewe yaani Chadema imeenea kote mpaka imevuka mpaka ya jamhuri ya Mzee mchonga (NYERERE)
 
Straits ulimaanisha traits ?
 
Neno uwivu halipo kwenye lugha ya kiswahili.

Jielimishe zaidi.
 
Unataka akikiri akupigie simu au??

Hutaki kuamini kuwa mtu wenu hayupo vile wengi wanavyomwona yupo??
Kwenye interview hakuna sehemu kaongea hayo maneno?

Mwaka Jana si TAKUKURU walimchunguza Tena retrospectively mpaka miamala ya benki from 2010!! Mbona hamkumpeleka mahakamani? Maana mliona hakuna Cha ushahidi wa kuiba ruzuku Wala kujikopesha kama mlivyokua mnaropoka humu jf.

So wewe kama mwanasheria embu jitahidi kuwa na nidhamu, usiongeee mambo bila evidence au basis. Yaani ukiona tu screenshot ya Twitter basi ni taarifa halali?

Kwa akili hizi no wonder CCM inatawala miaka 60 Sasa licha ya kufeli Kila kitu
 
Acheni kukuza mambo DOLA ipo chini ya Rais so usitake kutenganisha na hizo conspiracy zenu. In fact Ili uwepo kwenye Dola basi lazima uwe aligned na chama tawala no wonder mtu ni mwanajeshu ghafla anateuliwa ukuu wa mkoa anaingia vikao vya CCM!! Mtu jaji mkuu ghafla anagombea Uspika unajiuliza kadi alipewa lini??

Mbowe sio part ya state ingekua hivyo angekua kama Mbatia au Seif waliojisalimisha kabla ya uchaguzi. Mfano kama state inamtumia Mbowe kudai katiba obviously na huko CCM watu wote wanaotumika na state wangeanzisha vuguvugu so inakua rahisi kufanikiwa.

Unless uniambie hiyo state nao vilaza tu yaani wategemee katiba ipatikane kupitia Mbowe pekee? Sasa huko bungeni Pamejaa maCCM wataipitishaje?

So logic haikubali kabisa, Mbowe ni opposition maana alipoingia Chadema ilikua zero kabisa ila kaipaisha so hata hao TISS hakuna aliyewahi Dhani Chadema ingefika hapa ilipo Cha kushangaza wamefika hapa ndio mnataka mchukue credit kuwa Mbowe ni mtu wenu?

Acheni utani
 
Asante sana unaendelea kulitendea haki swali langu.
 
Sasa ulitaka awe anaisifia ccm?

Kumbe hamjui mambo mengi sana
 
CDM ikisema shida, ikizungumza shida. Sio wapinzani wanaona raha kukaa ndani na mateso yake miezi 8 au kupigwa kedekede. Naona tumefika mwisho wa kufikiri.
 
Sasa ulitaka awe anaisifia ccm?

Kumbe hamjui mambo mengi sana
Ndio nakuuliza si ulikua unashabikia ni gaidi? Leo hii ndio unamtambua ni mtu wa Dola kisa tu amekubali maridhiano? Ila kipindi anapinga chanjo oooh mkasema anatumika na mabeberu?

Sasa which is which? Kwa akili hizi ndio maana mwenyekiti wenu anawazidishia tozo na mgao!! Maana kaona wote mbumbumbu tu
 
Umeshindwa kunielewa we jamaa!!

Kama ni hivyo bas marais walioshika hatamu wangeamua atakaeshika hatamu Baada yake,mbona huwa wanafeli!!?

Kuna KITU ina operate very deep wakati mwingine Rais hajui chochote!
 
Maneno haya yataendelea kukugharimu kwenye jitihada zako za kusaka uwakilishi kupitia Ccm...
Kuna type fulani ya mijitu very bold, they call a spade a spade, kwa kuwa mkweli kihivyo srometimes it costs, ila wakweli hao, they don't mind paying the price, as long as unachokisema ni kitu cha kweli.

Nikijiangalia nilivyo and what I stand for, nikijilinganisha na baadhi ya waliopitishwa, kiukweli kabisa kuna majitu majinga na ya hovyo ambayo hayana msaada wowote, lakrini yamepitishwa na watu wazuri wamekatwa kwa sababu za kijinga!. Hiki kinachofanyika ni ujinga na watu wanaofanya ujinga ni majinga.

Kwa vile Mama alipoingia aliukuta huu ujinga upo na yeye anaundeleza bila kujua ni ujinga, s'2 he is excusable kwenye wajinga kwasababu tunajifariji kuwa alikuwa haujui ujinga huo, hivyo cha kwanza tunachofanya ni kunielimisha Mama ili aujue ujinga huo na kwa vile huyu ni mtu wa haki, akiiijua ujinga huo kamwe hataruhusu dhulma hii iendelee ndani ya Tanzania ya Samia na ujinga wenyewe ni huu tulianza kwa kuwaeĺimisha Watanzania maujinga yetu, Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law! Kuendelea Kuitumia ni Ujinga? Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi! na Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.

Mimi kama mwana CCM, nikaemisha wana CCM wenzangu kuwa japo CCM ni chama chetu, kikituletea maujinga, tusikubali Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani!

Samia alipoingia tukamlilia Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? kisha tukalia tena Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Hatimaye akatupa majibu Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki Tanzania

kitu ambacho hatukipendi ni when paying the price tuko tayari kulipa haraka yoyote except paying for the price of life kwasababu itawagharimu the innocent loved ones kama mke na watoto wa Stan Katabalo, Azory Gwanda na Ben Saanane!, na hata hao who paid by their lives, waliowalipisha nao wamelipwa, hivyo hata Mama baada ya kuujua ukweli akaamua kuacha ujinga huo kuendelea, karma nayo utaendelea na kutimiza wajibu wake mpaka pale viongozi wetu watakapo do the right thing and do it right.

P
 
Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Mchana Mbowe yuko na Lowasa, Usiku yuko na akina Mwigulu Nchemba.
Mbowe ni mtu wa mfumo!
 
Hapo kwenye kumtoa Mbowe hebu agalia vizuri labda sivyo ulivyokusudia kuandika. Huyo hamuwezi kumtoa labda atoke mwenyewe
 
wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio huko ccm unafikir mbowe anamuda wa kuhangaika na mapumbavu yanayolalamika mitandaoni yakiambiwa yaandamane yananyea ndoo tena mbowe shikilia hapohapo mpaka wapumbavu wapate akili.
Mbona enzi zile cuf walikuwa wanaandamana.
 
Hapo kwenye kumtoa Mbowe hebu agalia vizuri labda sivyo ulivyokusudia kuandika. Huyo hamuwezi kumtoa labda atoke mwenyewe
Usijibu jibu watu hovyo mtandaoni.
Kama hauna cha kuandika kaa kimya.
 
Nakuuliza ulitaka awe anaisifia ccm ndio ujue kama ni mtu wa system?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…