Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Ulitaka akimbilie Kwa Mumeo Masanja Mkandamizaji? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
3:1 ni upumbavu kwanza asemehe je, alikuwa na kesi halali au alizushiwa? Bichwa kubwa akili tone
 
Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Waslamu bwana. Mbowe ni Mlutheri, then labda kulikuwa na baba askofu wa Catholic ambao ndio real engine behind the running of this country na labda na yule Mwamakula wa "sisi askofu".
Islam ina denomination ngapi na mufti wangapi?
 
.....Alitakiwa kukataa.....Maana Rais alimwita GAIDI mbele za Watu.....Sisi tuliokuwa tunalia naye Tulitakiwa kuona KESI inaishaje
 
.....Alitakiwa kukataa.....Maana Rais alimwita GAIDI mbele za Watu.....Sisi tuliokuwa tunalia naye Tulitakiwa kuona KESI inaishaje
Angekataa angefungwa, Mahakama ilishamkuta na KESI ndio sababu Viongozi wa Dini wakaenda kutubu ikulu Kwa niaba yake 🐼
 

BAKWATA sio dhehebu mkuu, ni genge la wahuni wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…