Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura
Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole
Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemi hai Answar suna ni wachache mno
Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority
Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu