Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Niko ndani kabisa yeye si anadai Mbowe wa jela nk tofauti na aliyetoka?

Mbona yeye alikimbilia Kwa mume wake Amsterdam alipotaka Kukamatwa aende jela na Shujaa wako uchwara? Kwa nini asingewnda Ili atoke jela alikuwa Lisu yule yule badala yake kageuka kuwa kibaraka?
Ulitaka akimbilie Kwa Mumeo Masanja Mkandamizaji? 😂😂
 
3:1 ni upumbavu kwanza asemehe je, alikuwa na kesi halali au alizushiwa? Bichwa kubwa akili tone
 
Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Waslamu bwana. Mbowe ni Mlutheri, then labda kulikuwa na baba askofu wa Catholic ambao ndio real engine behind the running of this country na labda na yule Mwamakula wa "sisi askofu".
Islam ina denomination ngapi na mufti wangapi?
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂
.....Alitakiwa kukataa.....Maana Rais alimwita GAIDI mbele za Watu.....Sisi tuliokuwa tunalia naye Tulitakiwa kuona KESI inaishaje
 
Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura

Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole

Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemi hai Answar suna ni wachache mno

Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority

Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu

BAKWATA sio dhehebu mkuu, ni genge la wahuni wa CCM
 
Back
Top Bottom