Pre GE2025 Mbowe: Nimemjenga na kumsaidia Lissu kwa mengi, kuna wakati najiuliza yeye ndo anayasema haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”

20250106_202941.jpg
 
View attachment 3194370
Yooooteeee ya VITU alivyompa, havina maana, ukilinganisha na ile KUOKOA UHAI WAKE! Kiherehere cha kuzuia nia OVU ya JPM isitimie imemponza Mbowe!
 
Kwahiyo mzee ulitaka mkifanya takataka zenu wanyamaze?

Huyu ameishiwa sera siku hizi.
 
Kwenye siasa rafiki yako wa sasa ndio adui yako wa kesho na adui yako wa leo ndio rafiki yako wa kesho

Mbowe na mvi zake hakuyajua hayo maneno? Mbona lowasa alikua adui akawa rafiki

Kwanini anamshangaa Lisu?

Nyerere na kambona
Lisu na mbowe
Jk na Kowasa
Mbowe na zitto
Mbowe na Slaa

Sijaeleweka tu?
 
Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.

Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Prof Ngongo heshima yako.

Unadhani nani anawafaa CHADEMA kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu?, kwa nini huyo uliyemchagua?
 
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”

View attachment 3194370
Lissu kugombea uenyekiti anaonekana na mwenyekiti wake kama muasi.
 
Kwenye siasa rafiki yako wa sasa ndio adui yako wa kesho na adui yako wa leo ndio rafiki yako wa kesho

Mbowe na mvi zake hakuyajua hayo maneno? Mbona lowasa alikua adui akawa rafiki

Kwanini anamshangaa Lisu?

Nyerere na kambona
Lisu na mbowe
Jk na Kowasa
Mbowe na zitto
Mbowe na Slaa

Sijaeleweka tu?
Mbona mbowe mara nyingi sana hapo
 
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”

View attachment 3194370
Mbowe alisahu ule msemo wa Bora kumfadhili mbuzi utakunywa mchuzi ila sio binadamu.

Tenda wema nenda zako 😂😂👇👇

View: https://x.com/wananchitv/status/1876319059022938414?t=mdlt6Bx45N0F0G5hQP-XqQ&s=19
 
Yooooteeee ya VITU alivyompa, havina maana, ukilinganisha na ile KUOKOA UHAI WAKE! Kiherehere cha kuzuia nia OVU ya JPM isitimie imemponza Mbowe!
Lissu kajazwa upepo, Tanzania yote anaiona kama yake, Maria kamfix Lissu kutokana nakigari
 
Back
Top Bottom