Pre GE2025 Mbowe: Nimemjenga na kumsaidia Lissu kwa mengi, kuna wakati najiuliza yeye ndo anayasema haya!

Pre GE2025 Mbowe: Nimemjenga na kumsaidia Lissu kwa mengi, kuna wakati najiuliza yeye ndo anayasema haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
M
Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.

Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Mnazidi kujivua nguo kumbe yanayosemwa huenda ni kweli mna roho za kiuaji,mlimsingizia sana Magufuli kumbe mlikuwa mnamalizana wenyewe.
 
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”

View attachment 3194370
Wala punda wanafanana na punda,shukrani Yao ni mateke kaka
 
Na hapa ndipo shida ilipo.
Jamaa agombea tu lakini watu wanang'aka, wana maana Mwenyekiti adumu milele na yeyote atajayegombea anahujumu chama.

Chama cha ovyo sana hiki.
Nionavyo if this time bado FAM atapita tena basi nafasi hiyo hakuna ataegomvea mbeleni ataishi nayo hadi nature ifanye kazi...au atamrithisha mtu badae huko..maana kushindana na FAM nadhani ni kama CDM kuiondoa CCM madarakani
 
Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.

Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
aliyetoa hela ya kukodi ndege alikuwa ni mbunge wa CCM kutoka Zanzibar.Mbowe asione kuwa yeye tu ndio aliyemuokoa Lissu
 
Back
Top Bottom