Pre GE2025 Mbowe: Nimemjenga na kumsaidia Lissu kwa mengi, kuna wakati najiuliza yeye ndo anayasema haya!

Pre GE2025 Mbowe: Nimemjenga na kumsaidia Lissu kwa mengi, kuna wakati najiuliza yeye ndo anayasema haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa FAM ilibidi kwa busara ktk miaka yote ya Uchairman ungeandaa viongozi wengine wakurithi kiti chako..shida inaanzia kuwa CdM ina umri wa kutosha kuwa imezalisha viongozi wengi wenye kariba na uwezo wa kuongoza nchi au kuunda serikali..kwa mtindo huu ni kama TL hana uwezo, na wengine wako kimya, lile jeshi la zamani ikiwemo the so called covid 19 hawapo ktk mchakato huu..sasa mmebaki mnanyukana wewe na TL , huku imani ikijengeka kuwa wewe uliyepo madarakani ndo unafaa zaidi ya TL, yule Msheria ni kama talkative fulani...binafsi CDM bado hainipi chaguo sahihi la chama mbadala wa ccm!!
 
Hizi kampeni ingekuwa kila mgombea ananadi mikakati yake kuelekea chaguzi zijazo na vile watajenga chama chenye nguvu ningewaelewa..binafsi sijasikia hayo zaidi ya kutuhumiana na kujibu hoja za mwenzake zinazohusu mapungufu...Mwenyekiti FAM utafanya nini kipya baada ya 20yrs za kuwa kitini? TL unakuja na mambo yepi zaidi ya pale FAM alipoishia? Atleast ningewasikia hayo ..ila kila siku ni kuzungumzia Weaknesses baina yenu? Wapinzani wenu kivyama wanawasoma tu wataemdelea kuwagaragaza..hivyo watanzania kukosa watu sahihi
 
Sijasikia sera yoyote hapo.Anataka aendelee kuendesha chama kama ilivyo sasa.
 
Lissu kugombea uenyekiti anaonekana na mwenyekiti wake kama muasi.
Na hapa ndipo shida ilipo.
Jamaa agombea tu lakini watu wanang'aka, wana maana Mwenyekiti adumu milele na yeyote atajayegombea anahujumu chama.

Chama cha ovyo sana hiki.
 
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”

View attachment 3194370
Kwa hiyo Mbowe hataki Demokrasia yeye kwake rafiki yake ni mtu yeyote asiyeitaka nafasi ya uenyekit ndani ya Chama ,hv huyu ndiye Mbowe tuliyemwamini kwenye mapambano ya kidemokrasia nchini Tanzania,inasikitisha kuona CHADEMA Imeongozwa na mtu asiyeamini Demokrasia kwa miaka 20 mfululuzo,Ingawa bado nachelea kuamini kwamba kweli Mbowe amefikia hapo pa kukataa hata mtazamo wa wanachama walio wengi.Inasikitisha kuwa na wanasiasa wa aina hii kwenye vyama vya upinzani nchini Tanzania tena wanaotumika kwa maslahi ya CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM). Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kwa vikao vya SAMIA na Mbowe tutarajie vibe za kisanii za kuchezea watanzania.MUNGU ATUSAIDIE WAKATI WOTE KUONDOKANA NA WANAFIKI KWA MASLAHI YA TAIFA LETU.Wamepoteza maisha watu wengi kumbe wenzetu wanafanya usanii kwenye siasa.Watanzania asilimia 90 walishaichoka CCM muda mrefu tegemeo lao ni CHADEMA.MBOWE popote alipo na kama anasoma jumbe hz basi anapaswa kujitafakazi sana sana na kuhakikisha busara zake tulizozizoea zinachukua mkondo wake.
 
Mbowe kwake demokrasia ni kuiponda ccm kwamba imekaa miaka 60 madarakani haijafanya kitu, huku mwenyewe miaka 21+ Bado tu yupo
Wafuasi wa lisu wengi ni wajinga mno, bahati mbaya hawajijui!!!

Wanaonekana wanapenda democracy ila sio kweli hata kidogo!

Kwa akili za wafuasi wa lisu walitaka apite bila kupingwa!!! Mbowe kuchukua form anaonekana adui, sijui kwann hawajiamini!!!

Busara ni kupiga kampeni na kura ziamue sio kupenda mtelezo!!
Mbowe haaminiki katika demokrasia kamwe,
 
Hizi kampeni ingekuwa kila mgombea ananadi mikakati yake kuelekea chaguzi zijazo na vile watajenga chama chenye nguvu ningewaelewa..binafsi sijasikia hayo zaidi ya kutuhumiana na kujibu hoja za mwenzake zinazohusu mapungufu...Mwenyekiti FAM utafanya nini kipya baada ya 20yrs za kuwa kitini? TL unakuja na mambo yepi zaidi ya pale FAM alipoishia? Atleast ningewasikia hayo ..ila kila siku ni kuzungumzia Weaknesses baina yenu? Wapinzani wenu kivyama wanawasoma tu wataemdelea kuwagaragaza..hivyo watanzania kukosa watu sahihi
Haahaa huyu mbowe wa sasa Sijui kafanywa nn? Au Ile ya kutoka Toka gerezani kwenda ikulu imemuharibu?
 
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”

View attachment 3194370
Aisee...

Mwamba amefikia hatua ya kulialia hivi..??

Anataka apewe shukrani gani na kwa mtindo upi hasa...?

Je, ni kuachwa upite bila kupingwa uenyekiti CHADEMA ndiyo shukrani unayoitaka toka kwa Tundu Lissu? Really?

Kama ndiyo akili na mawazo yako haya, hakuna shaka yoyote sasa kuwa uwezo na maarifa yako kuisaidia CHADEMA yamefikia ukomo...!
 
Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.
Una maana Tundu Lissu angetangulia/kufa..?

Haa haa🤔🤔🤔....

Naona roho ya mwana wa kuasi (ibilisi) ndani ya Freeman Mbowe na Team Mbowe kwa ujumla, inaanza kujidhihirisha wazi wazi sasa eti kwa sababu ya uenyekiti tu wa CHADEMA..!

Hivi Tundu Lissu kamkosea nini hasa kiasi cha kuchukia na kupagawa kiasi hiki? Kwa sababu ya uenyekiti tu au kuna kingine..??

Lakini la kuhusu uhai wa Tundu Lissu acheni kukufuru ndugu Ngongo msije kujipalilia hukumu mbaya ya bure tu toka kwa Mungu Jehovah...

Kwa sababu mkono wa Bwana, Mungu wa majeshi, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyopo hai na visivyo hai NDIYE ALIYEOKOA UHAI WA TUNDU LISSU. Sifa, heshima na utukufu ni zake milele..!

Hujiulizi ktk hali ya kawaida ni binadamu gani duniani amewahi kumwagiwa risasi 16 mwilini mwake akabaki hai na bila kuathirika hata kiakili? Hatuoni kuwa huu ni udhihirisho wa wa nguvu na uwezo wa Mungu peke yake ndiyo ulizuia kifo cha huyu bwana..?

Kama kuna watu wanaweza kuanza kukufuru kwa kujaribu kujitwalia heshima na utukufu wa Mungu ktk hili, Amini amini nasema, Yesu Kristo atawahukumu...!
Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Kawatendea kitu gani kibaya jamani..?

Mbona mnalialia tu pasipo kunyoosha maneno..?

Kama ni ishu ya uenyekiti, si tumekubaliana kuwa HII NDIYO DEMOKRASIA kwa kila mtu kuomba kuchaguliwa kuwa kiongozi..?

Au kuna mengine tusiyoyajua ukiacha hili la uenyekiti..??

Kwanini tusiwe waungwana tu kwa kujieleza kwa wapiga kura na sanduku la kura liamue hiyo tarehe 21/1/2025..?

Mnaogopa nini kiasi cha kutamani mpate ushindi nje ya sanduku la kura..??
 
Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.

Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Kwa hiyo kuokoa MAISHA ya Lissu lengo lilikua kumfanya awe msekule wake??
Anyamaze Kwa Kila baya alitendalo keshafanya Kwa Zito Slaa na wengine lkn LISSU ni namba nyengine
 
Back
Top Bottom