mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Yooooteeee ya VITU alivyompa, havina maana, ukilinganisha na ile KUOKOA UHAI WAKE! Kiherehere cha kuzuia nia OVU ya JPM isitimie imemponza Mbowe!Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Kwahiyo mzee ulitaka mkifanya takataka zenu wanyamaze?Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.Yooooteeee ya VITU alivyompa, havina maana, ukilinganisha na ile KUOKOA UHAI WAKE! Kiherehere cha kuzuia nia OVU ya JPM isitimie imemponza Mbowe!
Ukiwemo au?Jf kwa sasa kuna wajinga wengi sana...
Aliyezuia Lissu asife ni Mungu hawa wengine ni njia tu ya msaadaAlitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.
Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Mzee ondoka unajivunjia heshima yako ndogo iliyobakiaLissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Lissu kugombea uenyekiti anaonekana na mwenyekiti wake kama muasi.Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Kosa la Lissu ni kugombea uenyekiti wa Chadema?Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.
Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Mbona mbowe mara nyingi sana hapoKwenye siasa rafiki yako wa sasa ndio adui yako wa kesho na adui yako wa leo ndio rafiki yako wa kesho
Mbowe na mvi zake hakuyajua hayo maneno? Mbona lowasa alikua adui akawa rafiki
Kwanini anamshangaa Lisu?
Nyerere na kambona
Lisu na mbowe
Jk na Kowasa
Mbowe na zitto
Mbowe na Slaa
Sijaeleweka tu?
Nyakati za kupisha wenzako zimeshafika, Acha maneno ya kikeLissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Mbowe alisahu ule msemo wa Bora kumfadhili mbuzi utakunywa mchuzi ila sio binadamu.Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Lissu kajazwa upepo, Tanzania yote anaiona kama yake, Maria kamfix Lissu kutokana nakigariYooooteeee ya VITU alivyompa, havina maana, ukilinganisha na ile KUOKOA UHAI WAKE! Kiherehere cha kuzuia nia OVU ya JPM isitimie imemponza Mbowe!