Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Kama ulikua unamuona kichwa kabla, sasa kapata chanjo bas sio mbaya unaweza muona hata mguu. Dormant thinking!!
Mkuu hapa nina doubt nae kifikra hiyo chanjo inamashaka sana heri ingekuwa nyengine.
 
Kwa hiyo Mbowe anataka kila mtu apigwe chanjo kama kuku wa kisasa?
 
Katika tafiti/ugunduzi zote za kitabibu hakuna dawa au chanjo isiyo na madhara kwa binaadamu
Miili yetu ina tofautiana na pia madhara yatokanayo na dawa/chanjo yanatofautiana pia kwa kila binaadamu.
Katika dunia ya leo tusitegemee kupata chanjo/dawa isiyo na madhara 100% kwa miili yetu hata tukiitengeneza sisi wenyewe.

Chanjo hadi ipitishwe kwa matumizi ya binaadamu basi takwimu zake kwa madhara kwa binaadamu ni ndogo sanaa.
Mfano mdogo Ujerumani walio pewa chanjo ni zaidi ya mill 2, ambao wamepata madhara(presha,kuganda damu na mengineyo) ni 30 huku vifo ni watu 7. Kwa ratio ya mill 2.7 na vifo 7 bado hii chanjo kisayansi imekidhi vigezo.


Kuendelea kulumbana kuhusu chanjo ya Covid ni kupoteza mudaa hii itapelekea taifa kupoteza ushirikiano na mataifa mengi ya nje.
 
Hii issue haipo kweny obligation kwa sasa so yule anaeona ni muhimu kwaajil ya afya yake yupo huru kupata chanjo. Tatizo hapa mtu akisema juu ya chanjo yaan anaonwa kama muhujumu uchumi 🤣🤣
Mkuu hapa nina doubt nae kifikra hiyo chanjo inamashaka sana heri ingekuwa nyengine.
 
Mwambieni kamanda wenu awanyunyuzie hiyo aliyopigwa yeye...huku hatutaki ujinga ujinga wa kufuata mikumbo..
Weka akiba ya maneno mkuu. Leo Magufuli ameenda zake mmebaki hamjui msimamie kipi.

Tume inaundwa,ikija na maazimio tupate chanjo sijui utasema nini.
 
Astrazeneca na Tim panyq Wanashambulia kutokea ndani na nje ya CCM
 
Hii issue haipo kweny obligation kwa sasa so yule anaeona ni muhimu kwaajil ya afya yake yupo huru kupata chanjo. Tatizo hapa mtu akisema juu ya chanjo yaan anaonwa kama muhujumu uchumi 🤣🤣
Hata Kama ni swala la afya hiyo chanjo ya kuogopa sio wajinga walioamua kuacha hiyo chanjo licha ya hasara waliyopata yani namshangaa sana.. unajua bora taarifa isingekuwa imefahamika juu ya hiyo chanjo i mean angechoma kabla ya zengwe la kugandisha damu na kukataliwa na mataifa lukuki
 
Ametumwa huyo kupigia debe biashara za watu!
Anataka kutuchuuza watz!
 
Mungu amekataa kivip wakati kampeleka mwenyewe kwenye NYUMBA YA KUDUMU!
Alikataa mawazo na mioango ya mataga kutaka kubadili katiba ili kumuwezesha atawale kama kagame
 
Katika tafiti/ugunduzi zote za kitabibu hakuna dawa au chanjo isiyo na madhara kwa binaadamu
Miili yetu ina tofautiana na pia madhara yatokanayo na dawa/chanjo yanatofautiana pia kwa kila binaadamu...
Hongera sana mkuu kwa kutuelimisha sisi kina kajamba nani maana kila kitu tunajifanya tunakijua.
 
Hii issue haipo kweny obligation kwa sasa so yule anaeona ni muhimu kwaajil ya afya yake yupo huru kupata chanjo. Tatizo hapa mtu akisema juu ya chanjo yaan anaonwa kama muhujumu uchumi [emoji1787][emoji1787]
Huo ndiyo ukweli maana kila mtu anatakiwa aijali afya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…