Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Kwa viongozi makini wanao jali afya na uhai wa watu wao posho ni hoja dhaifu sana kulinganisha na uhai
Hakuna kikao kilichokaa kufanya uamuzi wa kususa bunge. Kila mwezi wabunge tunatoa milioni kwenye chama. Leo hii anapiga marufuku kushiriki vikao,hizo posho tutazipataje? Akumbuke tuna familia

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Wacheni kuwachimbia watu kaburi kwa kuidharau corona, dunia itakuja kuwahukumu
In God we Trust
 
Wewe tulisha kwambia kuwa habari na mambo ya Tanzania tuwachie sisi wananchi maana wewe kwenu ni rwanda
In God we Trust
 
Mbowe kweli anazeeka vibaya,

Kwa siku za hivi karibuni amekua akitoa hotuba utafikiri ni mtu mwenye instruments za kumuwezesha kutekeleza anachokisema, yaani kwa ufupi amejipa mamlaka ambayo hana.
Corona ikizidi sana inakuwa stroke

In God we Trust
 
Mbowe asifanye maamuzi peke yake....... Sidhani kama wabunge wa Chadema wana mawazo sawa!
 
Tatizo la watu wanaomchafua Rais wanadhani Rais Yuko peke yake...hawajui kuwa nyuma yake kuna millions of people wanaomuunga mkono...
 
Wanasiasa wengi tu nchini wajingawajinga!!! Halafu siasa hata kama ukiwa ni mjinga Sana Ila tu ukiongea kumpinga mwingine unaonekana shujaaa Kwa wajinga mashujaa wa Ujinga

Ni ujingaujinga mwingi Sana vichwani mwa wanaofanya siasa zao Kwa Nia ya watu furani furani wasikie msimamo wao Kwa kuwa nao wanapenda Ujinga huo ukifanyika Africa

Mtu Tu kutoka anakokujua aamuru Tu wenzake wasishiriki Bunge bila kufikir kwamba Kwa kazi hiyohiyo kunawanaoingia Ofsini Hadi leo, Je umefanya utetezi upi kwao?

Kuna Madactari ambao Wapo ktk sintofahamu ya maisha Yao utasemaje wewe uache Bunge Wakati wewe unaeneo la kuchagua ukae Mita ngapi kutoka Kwa mwenzako?

Ni Ujinga mwingi vichwani mwa wanasiasa wengi Sana,
 
Dodoma nasikia kumekucha tena vibaya!
Ok iletwe hiyo list ya wanaodaiwa kufa kwa Corona...sisi wengine hatutaki heresay...nilisikiliza clip moja Mhe. Mbowe anadai mamia ya watu nchini wamekufa kwa Corona...alete hiyo list tuone....
 
Kumbe na wewe ni kibibi cha hovyo! Kwani kati ya Jiwe na Mbowe nani mwenye weledi? acha mtu kutegemea jeshi, vifaru risasi. Waweke kwenye mzani wa uraiani in terms of upstairs!
Dah, unafananisha mlima Kilimanjaro na kichuguu?

Wewe unafikiri Mbowe isingeikuwa nguvu za mkewe hata siasa angeijuwa? Kuhudumia wateja bar na siasa wapi na wapi?
 
#MWAMBA #PAMBANA #UTUVUSHE.
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

Magufuli kaenda likizo ya Corona ANAZINGUA tu, mpe za CHEMBE tena mpaka akae. DADEKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…