Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

utazani ulikuwepo meza moja na mama na MWAMBA MBOWE
 
Inabidi aanze kuongea na aliyemtoa rumande,Hao Wa Tanzania wasubiri kwanza
 
[emoji867]
Ushamba mzigo sana na kwa sasa nafurahi sana kwani sukuma gang tumewapiga za shingo.

Sasa hivi mnashinda mnadanga tu mitaani,enzi zenu za kushinda kwenye korido za ofisi za serikale zimekwisha dadeeki na hapo bado.
 
nafikiri hukumuelewa
kuna watu walitaka aongee siku hiyo hiyo lakini akasema kwa kipindi hiki tumuache akutane na familia yake then baada ya hapo atakutana na viongozi wenzake wa chama wapange siku ya yeye kuongea na taifa
 
Mzee wako Nyerere hakutaka vyama vingi. Yeye alipiga marufuku vyama vingi muda mchache tu baada ya kuingia madarakani.

Aliyerudisha vyama vingi ni Mzee Ruksa, Rais Ali Hassan Mwinyi. Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Malizia kabisa Rais Ali Hassan Mwinyi muislamu! Maana ndiko unakoelekea.
Kwa taarifa yako Mwinyi na wahafidhina wenzake wa ccm hawakutaka vyama vingi lakini kwa vile Nyerere alikuwa na nguvu sana na alitaka viwepo basi vikawepo.
Yale ya 60's ni historia tuu
 
Ushamba mzigo sana na kwa sasa nafurahi sana kwani sukuma gang tumewapiga za shingo.

Sasa hivi mnashinda mnadanga tu mitaani,enzi zenu za kushinda kwenye korido za ofisi za serikale zimekwisha dadeeki na hapo bado.
🖕🖕
 
Una haraka kama cha kwanza!!! Mwamba kaahidi kuzungumza subiri wakati muafaka ufike ndugu.
 
Mbowe ni kiongozi mwenye kujawa na hekima na weledi wa hali ya juu, ni mtu mstaarabu, mvumilivu, na mwenye subira.

Nadiriki kusema kuwa ktk chama changu pendwa cha CCM HAYUPO mwenye kuwa na sifa za Mbowe. Hakuna, narudi kusema hakuna.

Lissu ni mwanasiasa mzuri na mwenye uelewa mkubwa wa mambo, zaidi ana kipaji (highly gifted), ila bado anapwaya kukabithiwa nchi kwa sababu kama hana mtu wa kumzuia anaweza kuwa dictator mwenye kuumiza watu kwa kutumia sheria. Anafaa sana kuwa kiungo mchezeshaji.

Napigilia msumari, mwaacheni mbowe anyamaze. Kuna wakati wa kunyamaza na wa kusema. Tambueni wakati.
 
Zipo video clips kwa hayo uyatakayo, uwe unapitia na YouTube, au vifurushi vya data za video vinakupiga chenga?

Kishasema kaenda kumshukuru Rais. Unataka nini zaidi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]kwani Samia ndio kamtoa mpaka amshukuru?
 
Akinyamaza mnamchochea aongee,
Akiongea halafu akikamatwa mnasema anatafuta umaarufu.

Kibaya zaidi akikamatwa hata mkiambiwa mchange hela za kulipa mawakili mnasema kajikamatisha wafanye mradi wa kukusanya hela zenu
 
Ipo haja ya wote waliobumba kesi hii ya uongo wachukuliwe hatua. Wakiwemo siro, kingai, mahita jumanne gudlack majaji na mahakimu wote waliojiingizia pesa haramu kama posho mbalimbali za kushiriki kesi ya uongo na kuitia hasara kodi yetu.
Hio gharama ya kuendesha kesi si ingenunua hata madawati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…