Mbowe: Niruhusuni kunyamaza


Aiseeee
 
Hao watanzania unaowasema hawakusaidiana naye kuishi Keko! Usilazimishe kuingiza misi kwenye mipango ya Mwenyekiti na chama chake.
 
Lawama zako ungepeleka kwa MATAGA, wanachama wa CDM hawajalalamika kuhusu ya Lissu wala Mbowe.
 
Watz wengi wanaipenda udaku na wakishaambiwa wanabishana siku 1 au 2 na watakaa kimya, suala ya Mbowe na Chadema kiujumla siyo la kuongea haraka maana Kuna mambo lazima kama chama wakae wajadili Vilevile hata Serikali Kuna mambo itakuwa imeahidi kuyarekebisha kwahiyo Mbowe anaweza akawa anasubiri response ya Gov kwanza Ili nayeye aje aongee au anasubiri vikao vya chama ataongea
 
Ndio tabia za kichawi. Hawana jema wanacholitaka wao zaidi ya kumvizia wamroge.
 
Anatafakari kwanza, ni jambo zuri kwasababu ukiongea ukiwa na mihemko unaweza kuongea mambo ambayo hukutegemea.
 
Kuongea na hasa kuongea na umma kuna hitaji busara. Na busara huletwa na muda.
Mpeni muda.
Uzuri Mbowe anajua nini maana ya kuongea na umma!
Na ni mtaalamu wa "Cost Benefit Analysis"
Mpeni muda.
 
Ulivyo kaongoo!Ptuuuuu!😑😑😑
 
Mpaka ukoo wote wa wahuni oops wenye tabia za kimalaya malaya uondoke.
 
Je hizi
 
Je hizi
View attachment 2141235
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…