Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Yuko sahihi anahitaji kujipa muda wa kutosha kupumzika ametoka kwenye mtihani mkubwa sana .
Karibia Mwaka jamani!
Kama ni uonevu Mwenyezi Mungu atamlipia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za miaka hii binafsi sizielewi tangu aje JPM, Kutumia majukwaa ya Makanisa/Misikiti kuongea ni kosa ambalo miaka ijayo italeta athari...........pale Kila mtu ameenda Kusali na pale kiongozi ni mkuu wa ibada tu.....jambo hili ni hatari sana na linazidi kuwa na mizizi nchini.........
Hao watanzania unaowasema hawakusaidiana naye kuishi Keko! Usilazimishe kuingiza misi kwenye mipango ya Mwenyekiti na chama chake.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Lawama zako ungepeleka kwa MATAGA, wanachama wa CDM hawajalalamika kuhusu ya Lissu wala Mbowe.Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Kwa nini?Isije kuwa kanyamazishwa huyo…
Watz wengi wanaipenda udaku na wakishaambiwa wanabishana siku 1 au 2 na watakaa kimya, suala ya Mbowe na Chadema kiujumla siyo la kuongea haraka maana Kuna mambo lazima kama chama wakae wajadili Vilevile hata Serikali Kuna mambo itakuwa imeahidi kuyarekebisha kwahiyo Mbowe anaweza akawa anasubiri response ya Gov kwanza Ili nayeye aje aongee au anasubiri vikao vya chama ataongeaNakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Ndio tabia za kichawi. Hawana jema wanacholitaka wao zaidi ya kumvizia wamroge.Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Sijui wapo Chocho la wapi wakiendelea kutesekaNyinyi watu mna shida kubwa sana. Mdomo ni wa kwake, lakini mnalazimisha uwe wa kwenu!
Anatafakari kwanza, ni jambo zuri kwasababu ukiongea ukiwa na mihemko unaweza kuongea mambo ambayo hukutegemea.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Kuongea na hasa kuongea na umma kuna hitaji busara. Na busara huletwa na muda.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Ulivyo kaongoo!Ptuuuuu!😡😡😡Aongee nini wakati mama kaenda kule lupango kabla na kumwambia.. 'wewe mangi nimeambiwa unafungwa. Ushahidi upande wa mashitaka wameshaona una hatia makosa manne kati ya matano. Wanasheria wananambia hata ukijitetea vipi huwezi chomoa makosa yote. Kwa hivyo kama unakubali kufunga domo lako na kujidai wewe ndio unajua haki ni nini kuliko watu wote nchini, kama mkuu wa nchi na serikali nitamuomba dpp akufutie mashitaka. Lakini ujue ukileta ujuaji tunarejesha kesi iendelee ilikoishia. Kama unakubali nijibu hapahapa. Sijakuja kwa mkutano au mapatano yoyote'. Mbowe akajibu haraka .. 'naam mama nakubali naona maji kina kimezidi nazama niokoe' mama akaondoka.
Huu ni uchokozi kamili.✌️✌️✌️😝😝😝😝
Sasa si ukamlazimishe aongee... Mbona simple tu?!Kwani ameambiwa asiseme au asiongee? Kutokuongea ndio kuheshimu mamlaka?
Je hiziSiasa za miaka hii binafsi sizielewi tangu aje JPM, Kutumia majukwaa ya Makanisa/Misikiti kuongea ni kosa ambalo miaka ijayo italeta athari...........pale Kila mtu ameenda Kusali na pale kiongozi ni mkuu wa ibada tu.....jambo hili ni hatari sana na linazidi kuwa na mizizi nchini.........