Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Nchi yao Kilimanjaro wataipata tu. Hakuna hali ya kudumu duniani.

Zamani Tanganyika yote hadi East ya Congo DRC ilikuwa mali ya Zanzibar. Leo Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika na inalia kutawaliwa/kunyonywa na Tanganyika
Hata Kilimanjaro ilikuwa sehemu ya Zanzibar.
 

Kura yangu kwako ila tunataka umoja sio utengano na upendeleo

Kila mmoja ana haki ya kuishi
 
Hata Kilimanjaro ilikuwa sehemu ya Zanzibar.
Kwa hiyo unakubali hamna hali ya kudumu siyo?

Basi uamini tu kuwa kuna siku tena wala siyo mbali Kilimanjaro itakuwa nchi huru tena.
 
Wale nyumbu [emoji16][emoji16][emoji16].
mmeona Sasa?
 
Unaonekana Utakuwa na umri Mkubwa Sana, lakini akili za ndezi.
Wewe hujui umuhimu wa katiba Mpya kwa Taifa hili?
Kuna nchi hazina kabisa katiba na zipo vizuri sana kuliko sisi kwenye kila nyanja. DSiuoni umuhimu wa katiba kabisa. Ikiwepo ipo, ikiwa hakuna, hakuna.
 
Unaijua sifa ya nyumbu?
Ataongea rasmi kama kiongozi baada ya muda fulani, kama una mazungumzo binafsi na yeye nenda nyumbani kwake au ofisini. Kwa sasa endelea kuongea na mbunge na diwani wako waliopatikana kwa uchaguzi wa kihayawani.
 
Brother inaonekana hujawahi kukaa jela ndiyo maana unaongea tu kisa una mdomo wa kufanya hivyo.
 
Mkuu hakuna mwana cdm anaweza kubwabwaja huo upuuzi.

Hao ni kati ya waliokuwa wanamuombea mh Mbowe afungwe.
 

Nilitegemea Mbowe aseme wazi kuwa nimeongea na Rais kuhusu hiki na hiki na nimemwambia hiki na hiki na kwa kirefu nitasema baadae lakini kwa ufupi nimemwambia hiki na hiki!
 
Nadhani tuheshimu huo msimamo wake yeye ndo amekuwa mahabusu anajua aliyoyapitia. So anaposema hivyo ingekuwa vizuri tumwelewe.
 
[emoji44][emoji44][emoji44].
Kwa hyo mtesi wetu amefanikiwa?
ila tangu mwanzo niliwaambia mapema HAKUNA FREE YA BURE.
sijui Kama mlinielewa?
Brother inaonekana hujawahi kukaa jela ndiyo maana unaongea tu kisa una mdomo wa kufanya hivyo.
 
Vipi tume huru ya uchaguzi?
Kuna nchi hazina kabisa katiba na zipo vizuri sana kuliko sisi kwenye kila nyanja. DSiuoni umuhimu wa katiba kabisa. Ikiwepo ipo, ikiwa hakuna, hakuna.
 
Alaah kumbe.
Sasa mtapunguza matusi humu.
Maana nilikuwa nawaambia ukweli lakini mkaniona MJINGA.
huu mchezo wenzenu wamecheza kiakili sana.
Ila mbaya zaidi uwa hamtaki kueleweshwa
Tatizo bado hujaelewa nini nimemaanisha hapo.
 
Alaah kumbe.
Sasa mtapunguza matusi humu.
Maana nilikuwa nawaambia ukweli lakini mkaniona MJINGA.
huu mchezo wenzenu wamecheza kiakili sana.
Ila mbaya zaidi uwa hamtaki kueleweshwa
Bado hujaelewa tu.Wao wana tumia akili na sisi hivyo tunatumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…