macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna siku utakuja kupata hasara kubwa na pengine ufe kifo kibaya kabisa kinachotokana na huu huu ujinga unaofanywa na diktekta, muuaji uchwara na utakuwa umechelewa.Punguani. Yani ufe kwa sababu ya chama cha mwanaume mwenzio mjasiriamali. Manyumbu kazi mnayo.
Wewe unaona haviendani?labda nikuulize, alicokisema mbowe na hicho unachokiona kwenye video vinaendana?
Hivi Mbowe pamoja na utajiri wake anashindwaje kumtumia madunguaji Sabaya ili kurudisha heshima yake hapo Machame
Katepeta, Wali nazi atoke barabarani akione cha mkwezi. Genge lake kwisha habari yake.Ni muda wa vitendo mh Mbowe sio maneno
Leo mwamwindi yuko wapi?. Acha kushauri cheamani vibaya kamanda.Mbowe anakwama sana level yake sio wa kusumbuliwa na dc.
Anashindwa wapi? Wenzake kina mzee mwamwindi wa iringa walikataa dharau miaka mingi nyuma huko
Huyu matukio ya kishenzi kama haya ameanza kitambo. Kuna mshenzi mwenye madaraka ndiye anayemtia kiburi.Aibu sana hii.
unataka ithibitike mara ngapi ikiwa kashafanya matukio mengi Kama hayo na mamlaka zinamchekea?Lakini mkuu, huo ni uchochezi.
Wachochea vurugu na shida.
Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.
Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
Sasa hayo je yamesaidia Colombia hadi leo?
Biashara ya madawa maarufu kama Coffee bado inafanywa.
Halafu Colombia si taifa la kutumia kama mfano maana wao na Mexico si sawa na Tanzania.
Nchi hizo serikali ziko mikononi mwa Cartels.
Hayupo ila history inamkumbuka kama mtu aliekataa manyanyaso mkuu.Leo mwamwindi yuko wapi?. Acha kushauri cheamani vibaya kamanda.
Tatizo watu kama hawa badala ya kuwapa adhabu huwa wanapata promotion.Lakini mkuu, huo ni uchochezi.
Wachochea vurugu na shida.
Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.
Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
Ni jambazi tu huyuSabaya huyu mwamba sijawahi kumwelewa na mambo yake
Huu ni ujuha, Mbowe ana watu wengi tu lakini kila siku kulialia kama demu, inaudhi sana.Wanavimba kwa sababu wana support ya government lakini ukipangwa nae kavu kavu unamtoa vimchuzi hana kitu boya tu yule.
ha haa ,yule mzee alikuwa mwamba sana, aligonga dc risasi af akaenda kituoni mwenyeweMbowe anakwama sana level yake sio wa kusumbuliwa na dc.
Anashindwa wapi? Wenzake kina mzee mwamwindi wa iringa walikataa dharau miaka mingi nyuma huko
Ni kipofu tu haoni huo usukani kwenye hii picha ya black and white.Usukani wewe umeuona wapi hapo kwenye picha.
Wewe lia tu. Dua la kuku halimpati mwewe.Kuna siku utakuja kupata hasara kubwa na pengine ufe kifo kibaya kabisa kinachotokana na huu huu ujinga unaofanywa na diktekta, muuaji uchwara na utakuwa umechelewa.
Najua kama alivyo huyo dikteta ubongo wako ni finyu na hauna msaada zaidi ya kushibisha tumbo lako lakini hata kama haitatokea kwenye kizazi chako cha sasa basi kuna wanaokufuatia.
Mwalimu Nyerere (rip) angekuwa mpumbavu kama wewe au huyo diktekta uchwara wala wewe usingekuwepo hapa leo kuharisha uharo unaohara!
Acha porojo nimekuuliza umeona wapi unaanza ngonjera.Ni kipofu tu haoni huo usukani kwenye hii picha ya black and white.