Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Punguani. Yani ufe kwa sababu ya chama cha mwanaume mwenzio mjasiriamali. Manyumbu kazi mnayo.
Kuna siku utakuja kupata hasara kubwa na pengine ufe kifo kibaya kabisa kinachotokana na huu huu ujinga unaofanywa na diktekta, muuaji uchwara na utakuwa umechelewa.

Najua kama alivyo huyo dikteta ubongo wako ni finyu na hauna msaada zaidi ya kushibisha tumbo lako lakini hata kama haitatokea kwenye kizazi chako cha sasa basi kuna wanaokufuatia.

Mwalimu Nyerere (rip) angekuwa mpumbavu kama wewe au huyo diktekta uchwara wala wewe usingekuwepo hapa leo kuharisha uharo unaohara!
 
Mbowe anakwama sana level yake sio wa kusumbuliwa na dc.

Anashindwa wapi? Wenzake kina mzee mwamwindi wa iringa walikataa dharau miaka mingi nyuma huko
Leo mwamwindi yuko wapi?. Acha kushauri cheamani vibaya kamanda.
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.

Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
unataka ithibitike mara ngapi ikiwa kashafanya matukio mengi Kama hayo na mamlaka zinamchekea?
 
Sasa hayo je yamesaidia Colombia hadi leo?

Biashara ya madawa maarufu kama Coffee bado inafanywa.

Halafu Colombia si taifa la kutumia kama mfano maana wao na Mexico si sawa na Tanzania.

Nchi hizo serikali ziko mikononi mwa Cartels.

Wana tupeleka huko kutokana na wanayo tufanyia Raia wao ,au haujui tuna Kanda Maalum hapa Nchini Mkuu !?.Sina hakika Colombia wapo walipo hapo sasa hivi kwbakupenda ,ni Tabia tu za Watawala kuchukua Haki za wengine na hawajali so Raia wanaamua tu na wao kuunda Rule zao ili twende sawa.Mtu kama Sabaya utamshitaki wapi ?.
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.

Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
Tatizo watu kama hawa badala ya kuwapa adhabu huwa wanapata promotion.

Bila shaka koboko anaweza kutusaidia jambo letu. Najua alipo.

Shida tu koboko ataadhibu hata wasiokuwa na dhambi
 
Ndio wateule wa JPM hawa.
IMG_20201028_200201.jpeg
IMG_20201028_200034.jpeg
IMG_20201028_195926.jpeg
 
Kuna siku utakuja kupata hasara kubwa na pengine ufe kifo kibaya kabisa kinachotokana na huu huu ujinga unaofanywa na diktekta, muuaji uchwara na utakuwa umechelewa.

Najua kama alivyo huyo dikteta ubongo wako ni finyu na hauna msaada zaidi ya kushibisha tumbo lako lakini hata kama haitatokea kwenye kizazi chako cha sasa basi kuna wanaokufuatia.

Mwalimu Nyerere (rip) angekuwa mpumbavu kama wewe au huyo diktekta uchwara wala wewe usingekuwepo hapa leo kuharisha uharo unaohara!
Wewe lia tu. Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Back
Top Bottom